Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
- Thread starter
- #61
embu acheni unafiki wa isidingoPesa inayoachwa mezani ni Kwa ajili ya dharura ndogo ndogo, baada ya kuhakikisha chakula kimo ndani, mboga nk nk.
mtzania wa kawaida hana maisha hayo mnayosema ya kuacha pesa ya dharura.
kwanza ni kwa kipato gani?
maana yake mshahara haukutani
wachache mnoo hapa kijijini maana Mimi kijijini ndio nakiduka Cha mahitaji muhimu