We jamaa, nakupenda ujue


bora januari ifike murudi vyuoni tuongee mambo ya kikubwa
 

Kupenda ni kama kunyoa. Unaanzia popote, unaweza anza kupenda akili baadae umbo halafu sura, vyovyote vile. Hata avatar tunazochagua ni kipimo eti!!
 
Nndiye huyo huyo , naona response yake zero, ngoja nimvagae kwa PM, kutwa mara tatu,

asubuhi PM mbili, mchana mbili, jioni mbili mpaka atalegeza tu, anajifanya hardcore...lol

poa Mchumba!!!

ila akigoma.. niambie nikupe PLAN B!

I think it will be better off than plan A!
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo nakuwa na wakati mgumu kutambua kweli wanawake wanapenda au wanatamani unaweza penda mtu kwa coments zake.
 
Jamani amakweli bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi,sanyengine ukute mtu mwenyewe wala mda hana lakini watu wanajigongaje,jamani mpeni salam huyu mkaka ili aje japo Like amesema yeye ataridhika sio am Pm Like pia itatosha..
 
Kuna yale ya kuokota embe dodo chini ya mchungwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…