MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 18,851
- 38,690
.....Sasa nikupigie simu uje ukaleta visingizio visivyo na kichwa wala miguu
au ukaleta kiburi kisicho na faida
utajua kupangwa kwa kihindi kunaitwaje
halafu mkaja kulalamika wanaume haturidhiki haya
Hii taarifa tu wala sio kitisho
Hongera kwa waliooa kwa kipindi hichi.....
au ukaleta kiburi kisicho na faida
utajua kupangwa kwa kihindi kunaitwaje
halafu mkaja kulalamika wanaume haturidhiki haya
Hii taarifa tu wala sio kitisho
Hongera kwa waliooa kwa kipindi hichi.....