We Condemn: Calling for A National Day of Mourning

Zomba, you are no body. Shame on you! Hakuna sheria ya Tanzania au katika nchi inayoheshima haki za binadamu inayosema kuwa mkosaji auliwe!! Hata mwizi anahaki ya kuishi siyo KUUWAWA!! Hivyo basi, Ingawa CDM hawakukosea chochote, hata kama wangekosea, HAKUNA KINACHOKUBALIKA KISHERIA kumuua mtu eti kwa kuwa kaandamana nawe ulimkataza!! Hayupo aliye juu ya sheria, so MWEMA & ANDENGENYE bare this responsibility before the court of law. NO WAY!
 
For all those lost their lives in Arusha police brutal killings, I know you are not with us today but Thank you for giving your life and your love fighting for democracy and justice for our country. .. You did not die in vain you died for a reason. You our heroes..You didn't stand aside and let injustice prevail..but you stood up for democracy and fighting against inequality, exploitation and brutality. GOD BLESS YOU ALL. We will always remember you! You have liberated all of us. You are the True Tanzanian heroes. History will always remember you, and we will always remember you!

There is no easy walk to freedom anywhere, and many of us will have to pass through the valley of the shadow of death again and again before we reach the mountaintop of our desires.

Let freedom reign!
 
Napendekeza kama mazishi yatafanyika sehemu tofauti tofauti basi yawe tarehe tofauti ili viongozi wa kitaifa wapate fursa ya kuhudhuria mazishi sehemu zote.
 
Hakuna mahali demokrasi inapofundisha watu wavunj sheria. Demokrasi gani iliyokuwa hakuna Tanzania?

Wamevunja sheria viongozi wa Chadema na hawa Raia masikini ya Mungu wameuliwa kwa kufata mkumbo, leo hii hata Chadema wawe ndio wanaongoza nchi hii, watawasaidia nini hawa raia? au Chadema wana miujiza ipi ya kuwarudishia roho zao hawa raia wanao wadanganya?

Watu kama wewe ni hatari sana katika jamii,huwa mnaandika bila kujuwa wala kufikiri,mradi ukae kwenye keyboard ukandamize utumbo wowote unaokujia kichwani baada ya kupata majani.

Ukimnyooshea mtu kidole kimoja viine vinakunyoshea mwenyewe. Unajua falsafa ya Yesu kuhusu BORITI NA KIBANZI? kwa kukufafanulia kibanzi ni kipande kidogo kibanduliwacho toka katika boriti. Kama nikiweka mizani kati yako na MM. wewe una BORITI na MM ana KIBANZI. usicheze na nyakati ni tamati ya kila kitu. Watu wote walioweza kucheza vizuri na nyakati ndiyo waliopewa sifa za busara. Angalizo; unaweza tu kucheza vyema na nyakati kama una udhu.
 
Skewed democracy?
Anyone who doesn't take truth seriously in small matters cannot be trusted in large ones either. And this is a fact in most of African rulers.
 
Tupo Imara!

Unyama na Ukatili wa Serikali ya Jakaya Kikwete umevuka mipaka. Polisi walichokifanya Arusha ni unyama mtupu, wameua raia bila huruma..risasi za moto kwa raia wasio na hatia..Inauma sana..mimi ni mkazi wa Arusha na nimeshuhudia kwa macho yangu ubabe na unyama waliotumia. Haya yote yasingetokea ni pale polisi walipoamua kuua raia. Sasa wanasema watu wawili..Hebu tembelea hospitali ya Mount Meru ujionee mwenyewe, watu walivyopigwa risasi, idadi kamili ya awali ilikuwa watu nane waliouwawa na polisi, na hii inaweza kuzidi zaidi kutokana na majeruhi walio katika hali mbaya.

Sasa Kikwete furahia kama ulivyofurahia kupongeza mayor wako wa CCM Arusha tarehe 17 December 2010 pale Kibo Palace Hotel..Haya yote yana mwisho..Saidi Mwema Arusha tupo imara njooni tena, TUPO TAYARI KUFA KWA KUDAI HAKI YETU..sasa tumezidi kuwa imara, na nguvu mmetupa ujasiri ambao hatuogopi kifo tena..Mngeufuta ushauri wa mwenzenu Edward Lowassa, anafahamu wananchi wa Arusha vema. Kwako Makamba, Heri kijana mwenye busara, kuliko mzee mpumbavu...figure this out. Andengiye..huna tofauti na polisi wa kikaburu wa kimabavu wa Afrika Kusini..unatumiwa na hao makaburu wa Ikulu, Kikwete and his fellow crooks.

Kikwete acha unafiki, Madaraka yamekushinda achia nchi, achia wenye uwezo..Hujui unachokifanya..Elewa haki ya watu haipotei bali inachelewa. Hakika damu ya watu iliyomwagika Arusha itakulilia wewe na familia yako

Ndugu zangu wanatanzania tudai haki bila woga..kama watu wa Arusha!
Don't stay aside and let others fight for your rights..
It is time to wake up and fight for injustice anywhere in Tanzania..

Huyu Kikwete hatumtaki kabisaa natumaini anaelewa hilo kwa sasa..

Mliambiwa msiandamane mkajifanya pasua kichwa! Na mtakufa wengi msipo angalia!
 
For all those lost their lives in Arusha police brutal killings, I know you are not with us today but Thank you for giving your life and your love fighting for democracy and justice for our country. .. You did not die in vain you died for a reason. You our heroes..You didn't stand aside and let injustice prevail..but you stood up for democracy and fighting against inequality, exploitation and brutality. GOD BLESS YOU ALL. We will always remember you! You have liberated all of us. You are the True Tanzanian heroes. History will always remember you, and we will always remember you!

There is no easy walk to freedom anywhere, and many of us will have to pass through the valley of the shadow of death again and again before we reach the mountaintop of our desires.

Let freedom reign!

to all ov u, katika mauaji ya atwn, wamefariki polisi watatu, ni kwamba tu jeshi letu la police halitaki kutangaza police m1 alichinjwa mitaa ya mnara wa mwenge, wa pili alipigwa hadi kufa kituo cha polisi kaloleni wa mwisho alilipukiwa na bomu yeye mwenyewe. News from a reliable source.
 
I will always remember them. I know they will be missed by their families and the general public but the truth remains they died for a good cause! May their souls rest in eternal peace. Amen
 
to all ov u, katika mauaji ya atwn, wamefariki polisi watatu, ni kwamba tu jeshi letu la police halitaki kutangaza police m1 alichinjwa mitaa ya mnara wa mwenge, wa pili alipigwa hadi kufa kituo cha polisi kaloleni wa mwisho alilipukiwa na bomu yeye mwenyewe. News from a reliable source.

Na hawa POLISI wachomwe moto wa milele kama ni kweli
 
Mliambiwa msiandamane mkajifanya pasua kichwa! Na mtakufa wengi msipo angalia!

Please wana-Arusha tusiwajibu watu kama hawa tuendelee na ule mkakati wetu: watakapoona jeshi la polisi linaanza kuomboleza kwakuwapoteza wenzao watatia akili. Action speaks lauder than words! watatuelewa tu siku si nyingi sana.
 
Ni MALIPO YA DHAMBI YA KUUWA MWANA CCM PALE MASWA! MTENDA HUTENDWA! PIA NI MATOKEO YA KUTOKUZINGATIA LINE OF COMMAND.
NAWASHUTUMU VIONGOZI WA CHADEMA HASA DR. SLAA.
KAMA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA IKULU ILIVYOSEMA "DR. SLAA PENGINE NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA SASA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE".
tuache ngonjera!!!
 
Huyu Kikwete hatumtaki kabisaa natumaini anaelewa hilo kwa sasa..

You are negligible small in number! Vast majority are in favour of him.
 
Tupo Imara!

Unyama na Ukatili wa Serikali ya Jakaya Kikwete umevuka mipaka. Polisi walichokifanya Arusha ni unyama mtupu, wameua raia bila huruma..risasi za moto kwa raia wasio na hatia..Inauma sana..mimi ni mkazi wa Arusha na nimeshuhudia kwa macho yangu ubabe na unyama waliotumia. Haya yote yasingetokea ni pale polisi walipoamua kuua raia. Sasa wanasema watu wawili..Hebu tembelea hospitali ya Mount Meru ujionee mwenyewe, watu walivyopigwa risasi, idadi kamili ya awali ilikuwa watu nane waliouwawa na polisi, na hii inaweza kuzidi zaidi kutokana na majeruhi walio katika hali mbaya.

Sasa Kikwete furahia kama ulivyofurahia kupongeza mayor wako wa CCM Arusha tarehe 17 December 2010 pale Kibo Palace Hotel..Haya yote yana mwisho..Saidi Mwema Arusha tupo imara njooni tena, TUPO TAYARI KUFA KWA KUDAI HAKI YETU..sasa tumezidi kuwa imara, na nguvu mmetupa ujasiri ambao hatuogopi kifo tena..Mngeufuta ushauri wa mwenzenu Edward Lowassa, anafahamu wananchi wa Arusha vema. Kwako Makamba, Heri kijana mwenye busara, kuliko mzee mpumbavu...figure this out. Andengiye..huna tofauti na polisi wa kikaburu wa kimabavu wa Afrika Kusini..unatumiwa na hao makaburu wa Ikulu, Kikwete and his fellow crooks.

Kikwete acha unafiki, Madaraka yamekushinda achia nchi, achia wenye uwezo..Hujui unachokifanya..Elewa haki ya watu haipotei bali inachelewa. Hakika damu ya watu iliyomwagika Arusha itakulilia wewe na familia yako

Ndugu zangu wanatanzania tudai haki bila woga..kama watu wa Arusha!
Don't stay aside and let others fight for your rights..
It is time to wake up and fight for injustice anywhere in Tanzania..

Huyu Kikwete hatumtaki kabisaa natumaini anaelewa hilo kwa sasa..

First of all Maasai welcome to JF.
Kikwete is not my President, and he will never be my President. He is the President of NEC.
Nilipigwa mabomu ya machozi na mtu anauawa mbele yangu huku naona! Hapana Kikwete sio rais wangu.
Lakini anaweza kuwa Dikteta wangu.
 
Huyu Kikwete hatumtaki kabisaa natumaini anaelewa hilo kwa sasa..

You are negligible small in number! Vast majority are in favour of him.

Kuona ukweli wa hii statement ingekua vizuri ziara zake za Arusha awe na ulinzi kama ule aliokua nao Mwinyi maadam wengi wanamkubali, hamna haja yakua na ulinzi mkubwa.
 
Back
Top Bottom