Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,326
mi mwenyewe nilikua nadanganyika zamani ila saiz nimeelewa dunia inavyoenda,i divide the truth from the lies,huwez kuniendesha kama punda nikaamini tu bila proof na maelezo yaliyonyooka au uje kunitisha na hell with fire,i was born clean, i have no original sin and i do not need saving
Mkuu hii ni moja ya thread ambayo nimeipenda sana, kungekua na uwezo wa kukupa more likes ungepata hata 100, kudos Mkuu.
Back to the topic, nadhani kwa sisi ambao tulizaliwa kwenye familia mateka wa haya mapokeo ya uzao wa Adam na tukaamini sana mafundisho ya bible, ilikua vigumu sana kuyaona haya hata kama ukiwa na shaka na kifungu flani, unaambiwa huwezi kuielewa biblia bila msaada wa 'roho mtakatifu'
Lakini kumbe ukiwa makini na free from haya mapokeo then uisome tena vizuri the same biblia sio tu kwamba ina a lot of contradictions but majibu ya contradictions nyingine yanaweza kuwa na majibu humohumo.
Kwa mfano hii story ya uumbaji, bible yenyewe iko wazi kwamba kulikua na uumbaji wa aina mbili,
wa kwanza ulifanywa na Miungu/ Gods/ Elohim ambao waliumba watu kwa mfano wao, wanaume na wanawake.In the beginning God created the heaven and the earth. And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth. So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them. And God blessed them, and God said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth, and subdue it: and have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over every living thing that moveth upon the earth. (Genesis 1:1, 26-28 KJVA)
Wa pili ni ule wa mungu wa Adam na uzao wake, (And the [Lord] God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living soul. (Genesis 2:7 KJVA)
Na ukifuatilia vizuri kuna mabadiliko ya nafsi (personification) za mungu/ miungu, uzao wa kwanza ni Elohim au God
Uumbaji wa pili bible haisemi God ila Lord God kama mstari hapo juu uvyoonesha (Gen 2:7)
Bado zipo nyingine ambazo bible haijafunguka vizuri kama hilo la uumbaji kama ile ya jina la Lucifer lilikua linamrefer nani, kati ya mfalme, Shetan au Jesus
Waliozaliwa na "original sin" na wahangaike basi kujisafisha na madhambi yao, ila wako obsessed na kuwashawishi 'the other people' wajiunge nao kwa ujinga wao tu wa kutokujua kwamba we are not of the same kind, we are the other people, hatujazaliwa na original sin kama wao!