mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
- Thread starter
-
- #101
[ [[/COLOR]/QUOTE]
mmmmmmmmmmmh_hata sijaelewa...na pale nilipoelewa ninaishia kushangaa i.e iweje waisrael/wayahudi ndugu zake Yesu wamkatae mpaka sasa lakn kina yakhe kutwa kutoa mapovu mpaka kuuana.
[/COLOR]
Yeah_sure mkuu,...hata uislam/qouran nayo its not our story....tunajipendekeza sana kwa wayahudi na waarabu.
waislamu ndio hata maandiko ni lazima utumie kiarabu,yani hii inathibitisha kabsa haki milki ni ya waarabu
Mtanzania anaomuomba Mungu wa Israel, mungu wa Ibrahim halafu anataka aibariki Tanzania?
Labla ndio maana Israel ina power flan hivi kwa sababu watu wa mataifa mbalimbali badala ya kuomba kwa miungu yao wamebaki wakimuomba mungu wa Israel!
kuwa binadamu tunajua kuna pia kufanya makosa. lakini tuangalie nafasi zao katika jamii! kama hao walikuwa watu wa mungu kweli, basi walikua wanaongozwa na roho mtakatifu,na maamuzi yoyote yalikua yasifanyike bila kumconsult roho mtakatifu.na kama walikua wakimconsult roho mtakatifu haiwezekani wakakosea kwenye kutoa maagizo ya kiroho unless otherwise roho mtakatifu hakua nao kwaiyo walikua wakifanya maamuzi bila kumconsult roho mtakatifu.hii kupingana na kutoa maamuzi tofauti yaonyesha kabisa walikua wakiongozwa na utashi wao na si wa Mungu
suala la Mungu kutugeuka si kweli! ni kama nilivyosema wanaisrael wana Mungu wao na sisi pia tuna Mungu wetu,na Mungu wa Israel hajishughulishi na sisi,akijishughulisha na sisi, lengo litakua kututawala na kuwafanya watu wake waisrael wawe juu ya watu wengine wote.nadhani unafaham vita walivyozipiga na miungu na jamii zingine ili kuweza kutwaa maeneo na kuwatumikisha
maandiko ya biblia yana mafundisho mengi,kwetu inaweza kutumiwa kama reference book kati ya vitabu vingi,ila usife moyo kwani na sisi tuna Mungu wetu ambae nae anatenda miujiza na anasikiliza matatizo yetu.jaribu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Tz kuna maeneo ya maombi na watu wanaenda wanatatuliwa matatizo yao bila kupitia kwa Mungu waisrael.
tofauti kati yetu na wao ni kwamba sisi hatujawahi andika vitabu kuhusu Mungu wetu ila yupo hai
Mkuu IGWE
Halafu kuna hii idea kwamba huyo mungu wa Israel baada ya watu wake (waisrael) kumkataa aliwageukia mataifa, kwanza sina uhakika na authenticity yake, sijui waliitoa wapi hii?
Ila inaibua maswali kadhaa,
huyu mungu wao ina maana hana msimamo?
Yaani watu wamataifa walikua na value tu pale alipotoswa na "Taifa lake Teule"?
Ina maana waisrael wasingemkataa mustakabali wa mataifa ungekuaje?
Unaweza kuchagua kujifanya kutokuelewa jambo lolote kwa kuwa wewe umeamua hivyo
'
Yesu,kwa mujibu wa biblia alikuja kwaajili ya Ulimwengu wote,hiyo haina ubishi na kama kuna anaetaka kukataa hilo shauri yake
'
Ni bora useme huiamini bibla kuliko kusema uongo kuwa biblia inadai Yesu hakuja kwaajili ya ulimwengu
'
Ni ujinga kulazima uongo uwe kweli,nashindwa kuelewa ni kitu gani kinawakera Yesu anapohubiriwa
'
Mnajua kabisa Biblia takatifu inasema alikuja kwa ajili ya ulimwengu,na mpango huu wa Mungu kuiokoa dunina kupitia mwanae alikua nao kabla ya kuwepo taifa la Israel
'
Hivyo msidhani ni jambo la wakati wa Yesu
'
Yesu Kristo ni mwokozi wa ulimwengu,hutaki unaacha!

sasa si unatuonyesha kifungu ambacho Yesu anaenda kutuokoa au akisema mwenyewe yeye amekuja kwajili ya walimwengu, maana tumekuonesha tayar vifungu ambavyo yesu anakataa kuwasaidia watu wa mataifa, na jinsi alivyojielekeza kwa wyahud. utuonyeshe sasa nasi tupate kuamin
onyesha nguvu ya hoja zako na sio hoja za nguvu za kulazimisha[/QUOTE]
Point.........
Haya mwananthropolojia,kasome,
Yoh 17:18 !
mwananthropolojia ,
Sasa unaonekana namna una matatizo ya kufikiri,au unajua kabisa unadanganya kwa kuwa umeamua kuwa mwongo
'
Yesu alipokuwa anasema ametumwa ulimwenguni,unajua fika kabisa alikua anajua nini maana ya ulimwengu,anajua kuna taifa la Israel ndo maana aliwahi kuwaambia wakati fulani wasiende kwa mataifa kwakuwa wakati wao wa kwenda huko ulikua bado
'
Kwa kuwa unajitoa akili,acha nipe mstari mwingine
'
Marko 16:15,Yesu anawaambia wanafunzi wake,"Enendeni ulimwenguni MWOTE MKAHUBIRI INJILI KWA KILA KIUMBE . . . . .
'
Sasa niambie "ulimwenguni mwote"Ni pale alikopita Yesu au unaleta tu ubishi ili kujaza pages zisizokua na tija
'
Sio kila jambo ni la kubisha!!