We are the other people

Mourinho

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
4,628
Points
1,250
Age
99
Mourinho

Mourinho

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
4,628 1,250
Thank you so much. You have made me read the book of Genesis again, and the first post on this thread sounds amazingly true. It continues to prove that there's God, and humans are spiritually connected to God, their keeper. I have enjoyed the discussion too, it's very enticing. I wish someone could help bring forth the connection between "the other people" and God, I believe there's a connection, they just can't be "godless"! Asante sana mkuu.
'The other people' are not connected to God ( one god/goddess in particular) rather they are connected to gods/elohim, according to Genesis at least (Gen 1:26)

Or else you wanted to know the connection between the other people and one particular god/ goddess?
And if so, you have to come up with his/her name, because there are many of them!
 
mwananthropolojia

mwananthropolojia

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
956
Points
225
mwananthropolojia

mwananthropolojia

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2012
956 225
nifahamishe jina lake mkuu,cmjui.
kama umeishi bongo miaka yote na bado hujui ,i have no comment,nakushauri uhudhurie mbio za mwenge umjue vizuri kwanza,pitapita maeneo yaliyohifadhiwa maalumu kwa mambo ya maombi yaliyotengwa maalumu,fuatilia historia

maana hata nikikutajia utakua bado humjui
 
awake up

awake up

Senior Member
Joined
Sep 6, 2018
Messages
103
Points
195
awake up

awake up

Senior Member
Joined Sep 6, 2018
103 195
usitake kumuabudisha jua mwenzako iyo case imeshasolviwa zamani na ibrahim
kama umeishi bongo miaka yote na bado hujui ,i have no comment,nakushauri uhudhurie mbio za mwenge umjue vizuri kwanza,pitapita maeneo yaliyohifadhiwa maalumu kwa mambo ya maombi yaliyotengwa maalumu,fuatilia historia

maana hata nikikutajia utakua bado humjui
 
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
1,861
Points
2,000
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
1,861 2,000
Kanda za humanoids waliumba human homo kama clone za from lyrans and annunaki...pia zipo kanda nyingi zenye clone zao katika bustani mbalimbali ni hatua tu za ujuzi katika uumbaji,hivyo hivyo hata human homo(binadamu) hapo baadae atakuwa na uwezo wa kuclone binadamu mfano wetu na tukampandikiza mahala kama tulivyopandikizwa sisi,pindi human homo anawekwa bustanini(dunia)kama jaribio yalikwisha bita majaribio kadhaa wakadha,ya kiroho,mpka kufikia kimwili ,

Sehemu zote mbili zikiangaliwa kwa mihimili yake bustani ya kiroho na kimwili....nitarudi.....
 
Emerald47

Emerald47

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
359
Points
500
Emerald47

Emerald47

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
359 500

Saw sawa mkuu
 
TATA MKURIA

TATA MKURIA

Senior Member
Joined
Apr 6, 2015
Messages
169
Points
225
TATA MKURIA

TATA MKURIA

Senior Member
Joined Apr 6, 2015
169 225
Mimi hizi ishu hata haziniumizi kichwa, watu wamekuwa wagumu tu kuelewa wakati kila kitu kipo wazi....
Mfano, Cain aliyekuwa amelaaniwa na mungu "yahweh" na akaonekana hafai katika uzao wa Adam, akajiondokea na akaenda zake hata kwa " other people" akaoa huko na akaishi huko. Ukiwaambia watu kuwa kulikuwa na watu wengine utabishiwa hadi kesho, ila ukweli ni dhahili kabisa. Yahweh alishamlaani Cain toka katika uzao wa Adam, je wewe unadhani Yahweh anaweza kumruhusu Cain aoe dada yake? Alete laana nyumbani? Kama ndiyo basi yahweh alileta laana kwa watu wake "wa israeli" na biblia ikaficha si ndiyo! Kama hawezi fanya hivo basi Cain alioa kwa "watu wengine" ambao yahweh hata hana issue nao. Sijui Waafrika tutaamka lini!
Mimi natoka kwa "other people" biblia, yesu blah blah za dini hazinihusu....
 
Buddha aliwai kusema kua kuna vitu vitatu havifichiki "jua, mwezi na ukweli "
 
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,631
Points
2,000
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,631 2,000
Unapouliza Cain aliomba asikutane na watu wengine kuwa ni watu gani,kwani baada ya Caini,Adam na Hawa hawakuzaa tena?
'
Je hao hawawezi kuwa "wengine"?[/QUOTE]

Hili swali linatia shaka heshima yako hapa jukwaani .
 
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Messages
1,631
Points
2,000
Use brain Heriel

Use brain Heriel

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2017
1,631 2,000
Kanda za humanoids waliumba human homo kama clone za from lyrans and annunaki...pia zipo kanda nyingi zenye clone zao katika bustani mbalimbali ni hatua tu za ujuzi katika uumbaji,hivyo hivyo hata human homo(binadamu) hapo baadae atakuwa na uwezo wa kuclone binadamu mfano wetu na tukampandikiza mahala kama tulivyopandikizwa sisi,pindi human homo anawekwa bustanini(dunia)kama jaribio yalikwisha bita majaribio kadhaa wakadha,ya kiroho,mpka kufikia kimwili ,

Sehemu zote mbili zikiangaliwa kwa mihimili yake bustani ya kiroho na kimwili....nitarudi.....
Musk anafanya yake huko Mars NASA pia wapo kwenye tafiti , hope day one litatimia hili na Wafia dini wataelewa , Kuna time nawishi nsikufe niyaone yote .

Anyway natengeneza pesa nkifa nikahifashiwe kule States wanapohifadhi miili ya waliokufa Wakiweza kufufua watu nijionee Yote

hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
mkuu kumbuka maagizo ya mungu alivyosema siku utakayokula (nasisitiza siku)hakika mtakufa,hakuwaambia watakua na maarifa hakuwaambia wataishi uzee unono.ona Adam na Hawa walipokula nini kilitokea(Gen 3;7) wakajua mema na mabaya na kiustarabu wakajivika fig-leaves ila Mungu akaona wavike ngozi za wanyama.
tuangalie unaposema ndio ikawa chanzo cha kutoa kafara ya wanyama (Gen3;21) ukisoma humo hakuna maelezo hapo kuonyesha ile ilikua mbadala wa wao kufa inasema tu walivishwa ngozi ya wanyama,sasa huo mstari umeutoa wapi kwamba ndio sababu ya kutoa makafara kwa Mungu?
sanasana tunaona hofu iliyowashika Miungu (Gen 3;22)
kiukweli ukisoma bila bias yoyote utagundua ni wao ndio wanatuogopa na wametuzuia kula tunda la uzima(Gen3;22-24)
na kama wanatupenda sana sana sana mpaka wakaamua kumtoa mtoto wao mpendwa kama sadaka, kwanini basi wasituruhusu tu tule tunda la uzima kuonyesha wanajali badala yake wanamwaga madamu yasiyo na sababu kwa mamilion kama sio bilion za viumbe tena mpaka na mtoto wao juu pia wakamtoa kafara?
Aisee Hoja Fikirishi hii
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
naposema wanatuogopa narefer kwenye mstari wa Genesis 3;22 kwani tumekua kama wao tunajua mema na mabaya ila tumekosa kitu kimoja tu,uzima wa milele. na tutaupata huo uzima wa milele tukila tu tunda la uzima. naomba nikukumbushe kulikua kuna miti 2 moja wa ujuzi wa mema na mabaya na mwingine ni mti wa uzima(tree of life)ambao upo katika bustani ya eden unalindwa na upanga mkali wenye moto uliokamatwa na malaika na kuzungukwa na makerubi ili binadamu asiule akapata uzima wa milele akaishi,kasome huo mstari

madhara ya mema na mabaya kwa kweli yapo kwani tunaweza kufanya reasoning,tumekua wabunifu, tumedevelop dunia ingawa pia downeffects zipo

ila sijajua kwa upande wako wewe unaona tungeishi kama swala tu tunaofikiria kula ,kulala,kuzaana kwako inatosha ,ni vizuri zaidi?
kwa kweli nguvu ya damu ungenielimisha zaidi niisikie kutoka kwako, kwa maana mi nawaonea huruma viumbe tunaowachinja katika jina la Mungu.
kwa maana tumeona haitoshi tumefikia hatua ya kutoa kafara ya binadamu na watu mnaona sawa kabsa. je kuna tofauti yoyote na makabila yaliyokua yanatoa kafara za binadamu?
Hahah dahh !!! Point taken
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
nadhani tustick kwenye maandiko ,maana tukiingiza scientific views about creation ni very different,tukianza hata existance ya Mungu itakua questioned

katika kitabu cha mwanzo kuna creation 2, wale walioambiwa mzaane mkaongezeke mkaijaze dunia na mkatawale viumbe wote na kuna mwingine ambaye aliumbwa akawekwa kwenye bustani ya eden (Babu Adam) ailimelime nadhan kalikua kaproject fulani kalikua kanafanyika, akapewa masharti ya namna ya kuishi,kuvaa na vitu asivyotakiwa kula na ndio kinachomsumbua mpaka leo mara hivi haram mara vile halal

sisi wengine ambao tuliumbwa huko tukaijaze dunia tukawa hatuna sababu ya kufuata visheria vya hapa na pale na ndio mana tulikua na vitaratibu vyetu vya kuishi hatuna waswas wa kuoa wanawake tunaowataka,wawe 10 au 20 twende kazi,tunakula tunachotak kitimoto,mamba,nyoka yote mboga kwetu na ilimradi sio sumu basi si haram.

tunaposema we are the other people ni jambo lililo dhahiri kabsa kwani hatufanan kwenye kula,kunywa,kusali,kuoa nk(culture)na wala hatuna dhambi ya asili ya kula tunda we are perfect since day one na ndio mana tunapata tabu kufuatafuata sheria kwa sababu hatukuumbwa kufollow hizo sheria ,sisi tuna makubaliano yetu na Miungu wetu

NB.Nanukuu maneno ya Bwana Yesu kwenye agano jipya tunaona Bwana Yesu alivyomkatalia yule mdada kumponya kisa hakua myahudi akamwambia 'si vema kuwapa chakula cha watoto mbwa' (Marko 7;24),hebu fikiria kwa sabab ww sio myahudi unaitwa mbwa.halaf soma tena (mathew 7;6) hilo neno mbwa linatajwa akiturefer watu wa mataifa, halaf malizia na maagizo aliyowapa mitume 12 (mathew 10;5)

hapo utajua kwamba yesu hakuja kwajili yetu bali kwa waisrael hata hadithi nzima haituhusu kabisa kwa sababu
WE ARE THE OTHER PEOPLE
Yaani yesu ana tuona sisi ni mbwa "!!! Sasa hawa watanzania wa kwa mtogole wanatoa wapi nguvu za kumng'a ng'ania wakati yeye hawataki
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
Siamini chochote katika uumbaji wala uhalisia wake na nachojua kuhusu biblia ni kitabu cha simulizi za hadithi na historia ya watu wa Israel/ wazayuni.

Am the other people because I was not created in a mythical garden, I was not born out of sin rather out of love, I don't believe in heaven and hell, I don't need salvation and am NOT a descendant of Adam, never will I be.

Umeuliza maswali lakini hujajibu swali niliokuuliza Mkuu,
labla swali jingine, kwani Agano jipya lina story gani tofauti na hiyo kuhusiana na uumbaji?
Tuko pamoja mkuu kabisa
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
28,338
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
28,338 2,000
Wapi nimesema "kwa mujibu wa biblia mungu binadamu alianzia kuwa jiwe kish mbwa"?

Mungu binadamu ndio nini?

Sijaandika kwamba Cain aliomba asikutane na watu wengine, nadhani unajaribu kutwist maneno ili ujibu kile unachokiamini.

Nilichouliza hiki hapa;
And Cain said unto the [Lord], My punishment is greater than I can bear. Behold, thou hast driven me out this day from the face of the earth; and from thy face shall I be hid; and I shall be a fugitive and a vagabond in the earth; and it shall come to pass, that every one that findeth me shall slay me. And the [Lord] said unto him, Therefore whosoever slayeth Cain, vengeance shall be taken on him sevenfold. And the [Lord] set a mark upon Cain, lest any finding him should kill him. And Cain went out from the presence of the [Lord], and dwelt in the land of Nod, on the east of Eden. (Genesis 4:13-16 KJVA)

Nadhani wewe ndio huelewi hiyo biblia unayoitetea, Cain aliondoka from the presence of the Lord, akaenda kuishi Nod na akaoa huko. Unajua maana ya kuondoka kwenye "uwepo" wa bwana?

Kwa hiyo unataka kusema Cain alimuoa dada yake ambaye wakati yeye anakimbilia Nod, was not even conceived?

Adam na Hawa walijua kosa la Cain (la kumuua nduguye), sasa hiyo alama aliwekwa kwa ajili ya nani ambaye alikua hajui kosa lake?
Hahaha ..... daah !!!nondo hizi
 
Forum statistics

Threads 1,295,406
Members 498,303
Posts 31,210,959
Top