mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 638
- Thread starter
- #101
[ [[/COLOR]/QUOTE]
mmmmmmmmmmmh_hata sijaelewa...na pale nilipoelewa ninaishia kushangaa i.e iweje waisrael/wayahudi ndugu zake Yesu wamkatae mpaka sasa lakn kina yakhe kutwa kutoa mapovu mpaka kuuana.
Mkuu IGWE
Halafu kuna hii idea kwamba huyo mungu wa Israel baada ya watu wake (waisrael) kumkataa aliwageukia mataifa, kwanza sina uhakika na authenticity yake, sijui waliitoa wapi hii?
Ila inaibua maswali kadhaa,
huyu mungu wao ina maana hana msimamo?
Yaani watu wamataifa walikua na value tu pale alipotoswa na "Taifa lake Teule"?
Ina maana waisrael wasingemkataa mustakabali wa mataifa ungekuaje?[/QUOTE]
kwaiyo wasingemkataaa na kufuata masharti yake nadhani wangekua wamechinja watu wote middle east,maana Mungu wao aliwakataza wasibakishe mtu yeyote popote pale wanapopita, kwani ni chukizo kwake