Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
Cuzin mwakjj kama watu mmechoka kuwa screwed si uchaguzi unakuja mwakani na mwakani wala siyo mbali ni 2 weeks from today....sioni hata watu wakihangaika na kampeni ila naona tuu malalamiko kuwa CCM inawa screw!....Like amonth ago si kuna yule Rev Kishoka alitangaza chama chake hapa na akaweka itikadi zake...Na ni mwana JF ambao majority mnaona mpo screwed na CCM my suggestion is kwa nini msiungane na huyo Kishoka mkaweka mikakati yenu you never know....mafanikio hataji kwa kulalamika online ila kwa kuwajibika pia siyo kila mtu anasoma JF inabidi pia mtumie nyia mbali mbali kuweza kutanganza malalamiko yenu kama vijijini na kwingineko...Unless otherwise mtaendelea kuwa screwed for the rest of your life....