We are simply "screwed"!

Anxious - we remain to get that Information!....But as you introduced, something is very wrong somewhere!...Most very well written documents on how we should undertake our perfomances in efficient way, are dumped down in archieves, and are the breeding sites for the cockroaches!...BTW,what do we xpect when we nominate a medical doctor to be an MP?...Iam worried there is nobody from the alien country who will come and awaken us from this heavy nap!...oooh my!

this is more than a nap PJ, this can be either a deep coma or death...
 
I'm sorry to say this but the way things look from where I stand; we are simply screwed individually and as a nation! Or.. we are screwing ourselves.. otherwise, how can we explain the reality that we know too much but we do so little! We expect too much but we push for minimal? We have a lot of plans (short and long), strategies, visions, or whatever have you... but it seems like we have no idea what we really want (or need).

There are just a number of things that have come to me recently (I'll let Enigma inform you before the end of the week) I have come to this somber realization that either we are screwing ourselves, or somebody is screwing us! Either way, we are SCREWED!

let them screw!
....lol!

(a)I AM NOT CERTAIN AS TO WHETHER THE MAJORITY OF TANZANIANS KNOW TOO MUCH!(the opposite to be tha case herein)

(b)EXPECTING TOO MUCH WHILE PUSHING FOR THE MINIMAL will depend on the (a) above in one way.......

well,
ngoja tuone ENIGMA amekujaje safari hii....
 
Do you think police officer who is paid Tshs 400,000 is taking bribe because he is screwed?,Do you think TRA custom officer who is paid Tsh 1,500,000 is taking bribe because he is screwed?,Do you think the mwananyamala hospital's nurse who leave pregnant woman to the death she is doing this because she is screwed?,Do you think vizazi na vifo they are taking bribe because they are screwed?,do you think colleges admission officers are taking bribe from underqualified candidates because they are screwed?.Kwenye nchi yetu hii ukianza kazi una miezi sita na kununua nyumba na gari hata kama mshaara wako ni Tsh 100,000.utasifiwa mtaani,ndugu,hata kijijini bila watu kujiuliza umepata wapi hizo fedha na kwenu maskini.Hii inaonyesha corruption is in special part of our heart na tunashindwa kuikataa toka chini mpaka juu.Na hakika watu wa chini(ambao ni wengi) wakisema no to corruption,viongozi wetu ambao ni wachache wataogopa.

They are doing this b'coz their minds are screwed, and therefore are screwed as we are screwed!
 
I would say we are CONFUSED....

If our own minister responsible for constitution is sure on whether we are a socialist or a capitalist nation then what does that tell you?

Mkuu,

I believe you mean't to say "...unsure...".Anyway,I was really surprised niliposoma comments zake.Lakini yote haya ni products zetu wenyewe.We are responsible for our own destinies.If we decide to sacrifice ourselves leo products zitaonekana kesho au for a short plan,LEO!

Nawasilisha.
 
I'm sorry to say this but the way things look from where I stand; we are simply screwed individually and as a nation! Or.. we are screwing ourselves.. otherwise, how can we explain the reality that we know too much but we do so little! We expect too much but we push for minimal? We have a lot of plans (short and long), strategies, visions, or whatever have you... but it seems like we have no idea what we really want (or need).

There are just a number of things that have come to me recently (I'll let Enigma inform you before the end of the week) I have come to this somber realization that either we are screwing ourselves, or somebody is screwing us! Either way, we are SCREWED!

To do the desirable, we need/must have committed "freedom fighters"!
 
Timing timing mkuu Mwanakijiji...Nakumbuka last time ilikuwa ni kuhusu 'mwali'..Uliivutavuta by the time unaipublish wakawa wamelaunch ile ya 'mgongano wa maslahi' ktk umeme wa upepo.Wakadilute mjadala wa portek.Kama ipo tayari muirushe hata leo,ngoja ngoja...
 
do you think police officer who is paid tshs 400,000 is taking bribe because he is screwed?,do you think tra custom officer who is paid tsh 1,500,000 is taking bribe because he is screwed?,do you think the mwananyamala hospital's nurse who leave pregnant woman to the death she is doing this because she is screwed?,do you think vizazi na vifo they are taking bribe because they are screwed?,do you think colleges admission officers are taking bribe from underqualified candidates because they are screwed?.kwenye nchi yetu hii ukianza kazi una miezi sita na kununua nyumba na gari hata kama mshaara wako ni tsh 100,000.utasifiwa mtaani,ndugu,hata kijijini bila watu kujiuliza umepata wapi hizo fedha na kwenu maskini.hii inaonyesha corruption is in special part of our heart na tunashindwa kuikataa toka chini mpaka juu.na hakika watu wa chini(ambao ni wengi) wakisema no to corruption,viongozi wetu ambao ni wachache wataogopa.
ua damn right...we are here simply becoz hatuna uzalendo.....
 
Tusizunguke mbuyu. Tatizo la watanzania tulio wengi ni woga na kutojiamini kuleta mabadiliko. Hali hii imejengwa kwa kipindi kirefu.

Kwa kawaida mtu mwoga, atafidia/ficha udhaifu wake kwa maneno mengi ya kujitetea.
 
Viongozi wetu wana raha sana maana wanaongoza Taifa lenye wajinga wengi na wachache wenye uelewa hawajali..!

Baada ya uchaguzi mdogo jimbo la Busanda nilisema CCM inachaguliwa sio kwa sababu inapendwa sana, bali Watanzania walio wengi ni wajinga!. Nilishambuliwa sana kuwa natukana watu.

Mzee Mwanakijiji kasema we are screwed! Watukanaji wamenyamaza ama kwa vile ni tusi la kuzungu, ama kwa vile aliyesema ni Mzee MKJJ.

Hii ndio nchi yetu Tanzania, hawa ndio viongozi wetu Tanzania na sisi ndio Watanzania wenyewe tuliowaweka hao madarakani wakatufanza na tutaendelea kuwaweka na waendelee kutufanza.

Naungana na Mzee Mwanakijiji
Watanzania we are screwed, tumefanzwa sana na tunaendelea kufanzwa huku tumelala uingizi mpaka watakapojitokeza watu wa calibre ya Dr.Slaa, wakatuamsha usingizini kuwa tunafanzwa, tuamke na wote kwa kaulimoja tuamue kufanzwa sasa basi!.

October 2010 inaangukia usiku wa manane, ni vigumu kuamka usingizini, tusubiri mapambazuko ya 2015!.
 
Truely Pholosophical analysis
 
Wewe ndo umesema!, but the question comes,"what's the solution to unscrew ourselves"?
 
2010 itakuwa ni kama kipindi kile Yesu anaelekea kumaliza siku zake duniani, akina Yuda wengi wataonekana wengi na kwa hakika hawa ndo wanao tu screw
 
Back
Top Bottom