Sijaona hata chembe.
Mkuu hapo ni ikulu,huyo mgeni amekuja jana Tanzania.dah...
wakati dodoma wakishindia ubuyu...
mkuu wa kaya yuko abroad anapiga soga
View attachment 146003
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree.
Vipi tena?.... ndo wewe ninaekuona hapo kwenye picha chini ya ID yako.......
Hiyo comment ya kimoyomoyo tungependa kuiona ngoja tuone kama tunaweza kutengua kanuni..
Ngoja nielekee Dodoma mie sitaki ushahidi.......
....umeonaee mkuu,yaani watu wanachapa comment bila kujali,jamani tusikoment hata kama kapicha hamkapendi...Watu wa jf! Ni sugu post owner dont want comment but....!kumbe na mimi nimesha comment...without knowing..agrii!?
Hapo bado hajaweka pozi la kukunja nne