We angalia tu usicomment!

We angalia tu usicomment!

kwan kunann jaman mana hata kuangalia sijaangalia
 
............................................................
 
Nawaza jinsi prezidaa alivyokaza vidole gumba vya miguuni...!
Itakuwa alikuwa anachezesha magoti...sema picha ni mnato tu.
 
kwa mtindo huu mkuu hawezi kutoa maamuzi magumu hata kidogo.
just thinking
 
naomba nikomenti ase..........

rais wangu navyomjua...kisu hakijampitia mbali hiki
 
ukija Tanzania..mtwara yote ya kwako..pliz nikubalie. Ni kama anasema hivyo.
 
nangoja baba mwanasha anyanyuke niaone ule "mguu ulofanyiwa amputation" umeraise kias gan
 
nangoja baba mwanasha anyanyuke niaone ule "mguu ulofanyiwa amputation" umeraise kias gan

Mkuu umenichekesha sana hasa kwenye ilo neno la Kikoloni!!!!
 
Ngoja ale maana huu ni wakati wake...sijui nimekomenti au la!
 
Back
Top Bottom