WCB kuna mitambo hatari ya kuzalisha mahitsong ya kutosha... naamini siku wakiamua wasafi wote and their co waachie nyimbo kwa pamoja. huko youtube trend ya 1-10 itatekwa..
itakuwa hv
1. mond
2. zuchu
3. rayvanny
4. mbosso
5. lavalava
6. romy jones
7. baba levo
8. dulla makabila
9. queen darlin
10. gigy mtonyo