Wazungu wasionewe huruma, acha wavune walichopanda

Wazungu wasionewe huruma, acha wavune walichopanda

Huyo mvaa Pampers hawezi kujibu swali lako hata moja.
Kila kitu wameweka udini baada ya aibu ya mataifa pendwa kuanza kuandamana na mataifa hayo yanaonekanaga yamestarabika kumbe wapi..
Italy
Ufaransa
Albenia
Colombia
Argentina
Wote neno lao ni ugumu wa maisha kwa kupanda bei ya mafuta ..
Lakini anakuja mtu anasema mambo ya udini na uafrika ..
Mwafrika ni Mjinga milele.
 
acha utani mkuu, ambulance sio bure kumbe?
USA hakuna cha bure hata uwe na bima , kuita ambulance lazima ulipie , tena dollar 1,000 kama milion mbili na kadhaa za kibongo , na ukitaka helicoper mpaka dollar 12,000 ..Hiyo nchi , wengi wanshangaa maghorofa tu na kuashabikia matajiri ila wengi wanafanya kazi na pesa zote zinaishia kwenye bills.
 
Katika mahojiano yaliyochapishwa na gazeti la Ufaransa Le Journal du Dimanche tarehe 6 Machi 2011, Kiongozi wa Libya wakti ule Muammar Gaddafi alionya kwamba kuvurugwa kwa utawala wake kungeleta machafuko, makundi yenye silaha na maelfu ya wahamiaji kuelekea Ulaya. 
Alisema, kwa tafsiri ya Kiswahili:
“Kutakuwa na machafuko, makundi yenye silaha na uhamiaji. Maelfu ya watu wataivamia Ulaya wakitokea Libya, na hakutakuwa tena na mtu wa kuwazuia.”

Bashar al Assad wa Syria nae akawaonya Ulaya kuhusu kuchochea vita Syria
Matokeo yake waafrika na waarabu kupitia Libya wakaingia Ulaya kupitia Lampedusa Italy na wa Syria pamoja na wale waliokimbia Iraq na Afghanistan wanaingiia gateway ya Ulaya na Asia, Turkiye wakielekea nchi nyingine za Ulaya
Kabla ya hapo kuna wale wazungu wa kutoka Balkans (Yugoslavia ya zamani) nao waliingia Ulaya Magharibi wakikwepa machafuko kwao

Leo hii wote wanapata tabu baada ya kuchochea kinachoitwa demokrasia
Narudia tena na tena safari hii kwa herufi kubwa
WAARABU NA WAAFRIKA WANATAKIWA WAMIKINIKE KWA WINGI SANA ULAYA NA MAREKANI
Hao washenzi wakati wanachukuana kuzivamia nchi za watu walitegemea wenyewe wataishije
Wanatakiwa waende kwa siku moja walau wahamiaji 2k kila nchi ya ulaya na kule marekani waende walau wahamiaji 5k kwa siku
Mpaka kwao zitakaporejelea amani na hao washenzi wa kizungu watakapo jifunza kuacha ushenzi na uuaji wao
 
Kila kitu wameweka udini baada ya aibu ya mataifa pendwa kuanza kuandamana na mataifa hayo yanaonekanaga yamestarabika kumbe wapi..
Italy
Ufaransa
Albenia
Colombia
Argentina
Wote neno lao ni ugumu wa maisha kwa kupanda bei ya mafuta ..
Lakini anakuja mtu anasema mambo ya udini na uafrika ..
Mwafrika ni Mjinga milele.
Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu mjinga na mpumbavu akishindwa hoja hukimbilia kujificha kweny kichaka cha udini, ukanda, rangi au jinsia. Hivyo hao jamaa wa aina hiyo ni wapumbavu na wajinga.
 
Narudia tena na tena safari hii kwa herufi kubwa
WAARABU NA WAAFRIKA WANATAKIWA WAMIKINIKE KWA WINGI SANA ULAYA NA MAREKANI
Hao washenzi wakati wanachukuana kuzivamia nchi za watu walitegemea wenyewe wataishije
Wanatakiwa waende kwa siku moja walau wahamiaji 2k kila nchi ya ulaya na kule marekani waende walau wahamiaji 5k kwa siku
Mpaka kwao zitakaporejelea amani na hao washenzi wa kizungu watakapo jifunza kuacha ushenzi na uuaji wao
Sera zao za hovyo kivamia nchi za watu safari hii zimewatokea puani.

What goes around, comes around 🤣🤣🤣
 
Alafu kuna mtu anakuja kutoa lawama eti wakimbizi wanaharibu nchi za watu, nchi nyingi Sana kuna maandamano, kutokana na gharama za maisha kuwa juu, hali ikiendelea hivi, Moto utawaka kila sehemu
Wafuga midevu na majini ni janga la kimataifa!! Wameiharibu Ulaya yote kwa ujinga wao!!
 
USA hakuna cha bure hata uwe na bima , kuita ambulance lazima ulipie , tena dollar 1,000 kama milion mbili na kadhaa za kibongo , na ukitaka helicoper mpaka dollar 12,000 ..Hiyo nchi , wengi wanshangaa maghorofa tu na kuashabikia matajiri ila wengi wanafanya kazi na pesa zote zinaishia kwenye bills.
Mbona wahamiaji hawapungui kwenda kule mkuu?
 
Mbona wahamiaji hawapungui kwenda kule mkuu?
Kule wapi wakati nchi za kiislamu , wafanyakzi asimilia zaidi ya 60 ni wa kuja au hulijui ...Mbona hawalalamiki kuhusu uhamiaji ..Kule Libya mlienda kusambaza demokrasia kwani hamna makwenu kama mambwa.
 
Mimi sijawahi fika Libya mkuu.

Kwani hapo USA au CANADA kazi za wastani mtu anakatwa kodi asilimia ngapi.? Na europe Germany, Netherlands napo kodi asilimia ngapi, hili la kulipia ambulance sikua nalifahamu kabisa
 
Wafuga midevu na majini ni janga la kimataifa!! Wameiharibu Ulaya yote kwa ujinga wao!!
Ni lazima usimame na wavaa Pampers wenzako wa Ulaya, sababu ndio wanaopigania haki zenu za kufil.. w..
 
Mbona wahamiaji hawapungui kwenda kule mkuu?
Hata South African pamoja na adha yote lkn bado kuna watu wanamiminika kama sisimizi. Ukiwaambia wanakwambia Kusadiki kwa toma ni kujionea
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Usiangalie matatizo ya ulaya kwa jicho la kiislam utafeli, yale ni mambo ya siasa za kiliberali na kihafidhina

Acha ujinga Matatizo ya Ufaransa yanatokana na kuwakumbatia magaidi kutoka Mashariki ya kati Macron alionywa lakini hakusikia na sasa anavuna alichopanda!!!

Wafuga Midevu na Majini si watu wanaichoma moto ufaransa na kuiba kila kitu!!!! Hili ni fundisho kwa nchi ingine za Ulaya na Marekani waache kukaribisha nyoka chumbani!!
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu mjinga na mpumbavu akishindwa hoja hukimbilia kujificha kweny kichaka cha udini, ukanda, rangi au jinsia. Hivyo hao jamaa wa aina hiyo ni wapumbavu na wajinga.

Wewe ndiye mjinga na mpumbavu huoni maandamani hayo wengine wana bendera za magaidi wa palestina? Acha ujinga ukweli ndiyo huo!!!
 
Back
Top Bottom