6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,950
- 8,802
- Thread starter
- #41
Propaganda uchwara siku hizi hazina mashiko unless uwe shoga wa kushiriki mapenzi ya jinsia moja ndo utakubali kila unachoambiwa na wazungu sababu ndio watetezi wao. Hebu angalia hapo chini 👇Huwa wanafundishwa chuki mbaya Sana dhidi ya wasiokuwa upande wao huko madrasa toka wakiwa wadogo na mbaya zaidi huwa wanafundishwa kuwavizia na kuwachinja so usishangae
Makaburu yakisaidiwa na wayahudi wote kwa pamoj walikuwa na mpango wa kuwamaliza Wasauzi Afrika weusi wote ambao 99% ni wakristo wenzao. Je na wao walifunzwa kanisani?
Wazungu haswa polisi huko Marekani ambao 99% ni wakristo wamekuwa wakiwauwa, kuwatesa na kujaribu kuwaangamiza watu weusi. Nao walifunzwa kanisani unyama ule?
Au kunya anye kuku tu lkn akinya bata ni shida?