Wazungu wasionewe huruma, acha wavune walichopanda

Wazungu wasionewe huruma, acha wavune walichopanda

mtoa mada umenyoka sana,..... lakini changamoto kubwa sana ya nchi za ulaya ni sawa tu na huku kwetu, KUONGEZEKA KWA GAP LA WASIONACHO NA WENYE NACHO,...

ebu fikiria tu, watu wasiozidi 3% ya watu wote duniani, wanamiliki zaid ya 53% ya utajiri wote wa dunia,...🤯🤯🤯😤
 
Nchi zilizostarabika zinagawa silaha kwa waafrika wenzetu huko Congo, Mali, Niger, Bukinafaso ili wauwane wenyewe kwa wenyewe alafu nchi hizo zinazojifanya zimestaarabika ziweze kuiba na kwenda kuponda raha katika mataifa yao.

Sasa ni bora iwe 50 kwa 50. I mean wao waorganize silaha kwa makundi ya waasi ili watuibie, na sisi tukimbilie kwao kuomba hifadhi ili tuwaharibie. Bila kutengeneza vita katika nchi zetu kamwe tusingewafuata kwao.

Kabla ya USA kuvamia Iraq ( 2003 ) bila sababu za msingi waarab wachache san ndio walienda Ulaya tena kimasomo au biashara. Na bila NATO kuivamia Libya ( 2011 ) na kuchochea moto kwenye nchi za kiarabu ili wawaibie mafuta yao hakuna muarabu ambae angeenda Ulaya kuwa mkimbizi.
Mtu akija kwako akupe sumu uue watoto wako na wewe ukapokea mpumbavu hapo atakuwa nani
 
Fursa za kufanya kazi ili ulipe bills , kodi nyingi hamseni , yaani mshahara wote mnalipia kwenye kodi ..Ujinga wenu nyie wakimbizi , ni kushangaa yale maghorofa tu basi ila kwa ground miaka kumi unaishi kwenye apartments .

Nchi ina uchumi mkubwa ila kodi kama zote , medical bill ni kubwa hata kuita ambulance sio bure , hizo pesa wanapeleka wapi ? Unaongelea fursa za kupewa pesa mkono wa kulia na kuzitoa mkono wa kushoto ..Hakuna maisha huko , wengi mnalelewa tu .
Hii ndio comment bora kati ya comment nyingi nlizosoma.
 
mtoa mada umenyoka sana,..... lakini changamoto kubwa sana ya nchi za ulaya ni sawa tu na huku kwetu, KUONGEZEKA KWA GAP LA WASIONACHO NA WENYE NACHO,...

ebu fikiria tu, watu wasiozidi 3% ya watu wote duniani, wanamiliki zaid ya 53% ya utajiri wote wa dunia,...🤯🤯🤯😤
Ni kweli kbs mkuu
 
Hawa watu wakiongozwa na shetani mkuu ( USA ) na kibaraka wake Israel wamekuwa wakiendesha vitendo vya kikatili, na unyama wa hali ya juu dhidi ya Iran na mataifa mengine yanayopinga kushikiwa akili na Marekani.

Waliiwekea Iran vikwazo vikali vya kiuchumi kuliko nchi yoyote hapa duniani, ili vitumike kama silaha ya wairan kuingia barabarani kupambana na viongozi wao, au ikiwezekana jeshi litumie udhaifu huo wa kiuchumi kuipindua serikali yao.

Baada ya njia zote kugonga mwamba shetani mkuu na kibaraka wake Israel wakaamua kuingia vitani na Iran, huku vibaraka wengine kama Ufaransa, UK, Ujeruman nk wakitoa msaada kwa njia za uficho ili kuepuka aibu ya kushindwa pamoja.

Iran akiwa peke yake ameweza kuidhibiti hali na kufunga njia ambazo zinawapa wazungu jeuri ya kuendesha uchumi wa nchi zao ( nishati ) na kuhakikisha hakuna kenge yeyote ( adui ) anaepata nafasi ya kupenya katika eneo hilo bila idhini ya Iran.

Sasa leo hii ule ugumu wa maisha waliokumbana nao Iran kutokana na vikwazo vyao vya kiuchumi kwa Iran umewageukia na wao. Mafuta yamepanda bei, hivyo kusababisha gharama za maisha kuwa juu kwa vibaraka wote akiweko shetani mkuu Marekani mwenyewe. Na hapo bado hata miezi 10 haijafika kudadeki.

Bila kutubu kwa Iran, nchi hizo zitaendelea kukumbana na matatizo makubwa ya kiuchumi, pamoja na maandamano yasioisha.

Ni Swala la Muda tu.
American babies na Wayahudi weusi watakushambulia kweli kweli. Ngoja wauone huu uzi wako. Watakuita majina ya kila aina! Mfuga madevu, kobazi, nk.
 
Ufaransa alitaka kutuma manowari za kijeshi bahari nyekundu, maana anajua fika IRGC wako pale kukamata 'barabara' upande wote wa magharibi ya Yemen, kumbe maji yalikuwa shingoni na fuel reserve ndiyo imeisha
Aliambiwa asithubutu kutia pua yake eneo lile maana manowari yao itageuzwa banda la njiwa sekunde. Macron anakywea na kuamua kutulia tuli ili yasimkute yaliomkuta Marekani
 
Usiangalie matatizo ya ulaya kwa jicho la kiislam utafeli, yale ni mambo ya siasa za kiliberali na kihafidhina
Haya wewe yaangalie kwa jicho la Kikafiri halafu tupe uchambuzi wako hapa,

Wewe mlokole pori uliyepigwa na maisha,huu uzi unahusiana vipi na udini? Kama huna cha kuchangia nenda ukatandike kitanda cha shemeji yako.
 

Attachments

  • Screenshot_20250909_192740_Gallery.jpg
    Screenshot_20250909_192740_Gallery.jpg
    144.9 KB · Views: 3
Sijui kwanini ukiwa kobazi kuna aina fulani ya mtindio wa ubongo unaipata.

Pole sana gaidi mwandamizi ila ulaya na usa ndio wanashikilia uchumi wa dunia.

Huwa wanafundishwa chuki mbaya Sana dhidi ya wasiokuwa upande wao huko madrasa toka wakiwa wadogo na mbaya zaidi huwa wanafundishwa kuwavizia na kuwachinja so usishangae
 
Wewe mwenyew umeshafeli kwa kukimbilia kutanguliza udini katika post ambayo haikuzungumzia dini.

Ukiendekeza udini utakufa mapema san sababu ya chuki na roho mbaya kwa mtu asiekuwa dini yako. Jirekebishe na kukaa mbali na mtazamo wa dini ili uwe na amani ya roho kwa watu wa dini zote.

No nyie mnafundidhwa chuki toka mkiwa wadogo kwenye hizo madrasa zenu na hata Mungu wenu Allah kwenye kitabu alichokupeni kakufundisheni kuwachukia kuwavizia na kuwachinja wasiyokuwa upande wenu huu ndiyo ukweli
 
Out of Point ; Marekani kuna fursa nyingi sana kuliko sehemu yeyote ile duniani.

Wazungu ndio wawaone waafrica huruma na sio verse versa.

Mleta mada kama siyo kobazi mniuwe. Hizi mara nyingi huwa ni akili za kobazi tu.
 
Back
Top Bottom