Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
- Thread starter
-
- #41
nyie mnaohofia mwenzenu atapata saratani ya ngozi,i bet mtakuwa wa kwanza kuondoka na saratani hizo nyengine....
unless wale wanaotengenezea mikorogo nyumbani(home made mikorogo) mbayo haizingatii vipimo vya maabara,but i think hio mikorogo iliyopo dukani are safe to use,unless proven otherwise.....
ofcourse kuna opportunisst wanatake advantage ya hio market ya mikorogo,hivyo kuibua story za hapa na pale...but hawa wapo kila mahali hadi kwenye madawa feki sometimes tunakunywa.....!,hawaishii kny mikorogo tuu...
unless mje na statistics kuonyesha uwiano kati ya matumizi ya mkorogo na hio saratani ya ngozi....i dont b'liv what you all guys are saying....
mkorogo ni sawa na plastic surgery tu kuongeza ****** ama matiti...linaweza lisiwe jambo linaloappeal kwa kila mtu,but so long linaongeza confidence ya mtu ana the person is happy to use...sioni why we should condemn.....
Wape moyo yaelekea nawe pia ni miongoni mwao POLE YAKO
Naomba mniquote hapa: "Vipodozi vinapotumiwa vizuri au vibaya vinaweza kuficha uzuri wako au kufichua ubaya wako". Na kuwa pale unapovitumia kuficha ubaya wako basi vipodozi huufichua! Anayetumia vipodozi vizuri huwezi kuwa na utata wa uzuri wake kwani vipodozi huuthibitisha tu.
hakujua thamani ya rangi yake, rangi ambayo could never be faked!!!
siku hizi sijui kakaaje kaaje, kiuchafu chafu tu!!!
mimi bado nasema all the best kwenye safari yao kuelekea ocean road kaka!!!
hakujua thamani ya rangi yake, rangi ambayo could never be faked!!!
siku hizi sijui kakaaje kaaje, kiuchafu chafu tu!!!
mimi bado nasema all the best kwenye safari yao kuelekea ocean road kaka!!!
samahanini jamani, lakini huyu dada mie hamna cku nimependa kuanzia uvaaji hadi cjui make up, kuna pic hapo yaani kajikandika ma powder balaa...cjui mshauri wake nani jamani.
hahahaaaaaaaaa,mbona wengine sie weusi na tunapendwa tuuu,in fact you have to be proud of what you are ,sio kujikataa na kujichubuua hadi mvuto wa asili unapotea,its sad and i think its because of lil' education and lack of self esteem! shame on them,wangejua wazungu tulionao huku wanatamani kuwa weusi kama sisi coz ya adha za kuungua na jua due to shortage of melanin pigment.........wasingetumia maji ya betri na tindikali kujichubua hivyo,hadi wanatisha sasa.....na nyie wanaume acheni kuwadanganya kwamba wakijichubua soko lao kwenu linaongezaka.,yangu macho jinsi watakavyo fubaa na kuwa ampicillin aka rangi mbili!:frown:

Mh tutafika tu
Hakuna mwanaume anayewadanganya wenyewe tu hawajiamini. Kwa mfano mimi naweza kumzimikia mtoto yeyote yule awe mweusi tii kama mkaa au mweupe kama karatasi....yaani kwangu color sio ishu kabisaaaaaaaaaaaaahahahaaaaaaaaa,mbona wengine sie weusi na tunapendwa tuuu,in fact you have to be proud of what you are ,sio kujikataa na kujichubuua hadi mvuto wa asili unapotea,its sad and i think its because of lil' education and lack of self esteem! shame on them,wangejua wazungu tulionao huku wanatamani kuwa weusi kama sisi coz ya adha za kuungua na jua due to shortage of melanin pigment.........wasingetumia maji ya betri na tindikali kujichubua hivyo,hadi wanatisha sasa.....na nyie wanaume acheni kuwadanganya kwamba wakijichubua soko lao kwenu linaongezaka.,yangu macho jinsi watakavyo fubaa na kuwa ampicillin aka rangi mbili!:frown: