Wazungu sio mchezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazungu sio mchezo

Discussion in 'Jamii Photos' started by KAKA A TAIFA, Jul 12, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huyu mama niliwahikumwonyesha alivamiwa na sokwe mtu akamjeruhi vibaya kama mtavyoona picha hii.huko spain kuna daktari mmoja balla,kafanya hili na jana kumwekea mtu miguu miwili isiyokuwa yake,sisi tutafika wakati mtu anafanyiwa operation ya mguu badala ya kichwa
   
 2. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sisi tuna angaika na "kikombe cha Babu"....
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na ku pilacy software kwenye mitandao..wenzetu wako shule ukifanya kazi ya kusisimua au ugunduzi unatunukiwa...Bongo kama si kufungwa ni kuzikwa kitaaluma
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: cms_table"]
  <tbody>[TR]
  [TD="colspan: 3"]Mwanamke Afariki Baada ya Mapenzi na Mbwa[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Yangu macho.
   
 6. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  Isn't this out of topic?
  Au huyo mwanamke alikuwa mtasha (yani myamwezi - simaanishi watabora, by the way ;))??
   
Loading...