Wazungu ni wa baridi, hawasisimui kitandani.

Wazungu ni wa baridi, hawasisimui kitandani.

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
Jamani sijawahi kuwa na bwana wa kizungu, ila nasikia ni wa baridi sana kitandani na hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya uwanjani.
Najua Paloma utakuwa usha test hii ladha ya winter. Pia na wengine wenye uzoefu na wazungu mtueleze kinachowasibu mpaka mabinti wa kizungu wamiminike Afrika waje kufanya utalii wa kingono
 
Last edited by a moderator:
mi sijawai hata weupe tu wa vumbi la bongo sijawai
 
Napata hisia kuwa baadhi wanatamani kujaribu 6×6 na wazungu....
Ni PM nikuunganishe.
 
Jamani sijawahi kuwa na bwana wa kizungu, ila nasikia ni wa baridi sana kitandani na hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya uwanjani.
Najua Paloma utakuwa usha test hii ladha ya winter. Pia na wengine wenye uzoefu na wazungu mtueleze kinachowasibu mpaka mabinti wa kizungu wamiminike Afrika waje kufanya utalii wa kingono

Hahahahahahaaa!
Kuna eneo flani Zenji, linaitwa Kizimkazi, huko walibishana Mavi ya Mzungu hayatoi harufu mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Wapi Natalia? Njoo huku umwage radhi zako muke ya muzungu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli wengi chai tu mafua kibao...hamna kitu kabisa kama ndege anayeumwa "kidele"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanaume na nyie tupeni mauzoefu yenu kwa wanawake wa kithungu nao niwa barafu?
 
lol! hahahahah huku huwa mara nyingi wanampa za uso tena kavu kavu, sasa naona kaamua bora asiingie humu.
Chezea mke wa MTHUNGU Natalia wewe.....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
wanaume na nyie tupeni mauzoefu yenu kwa wanawake wa kithungu nao niwa barafu?

Wakikutana na Mafundi MCHUNDO huwa wanalia kama mwana ndama maana kuna sehemu maalumu ya kumtekenya demu hata awe hajawahi kufika ndio lazima tu. Ufundi huo sisi tunao- wasiliana nami kwa maarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom