Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,197
- 132,339
Hivi unaelewa biblical mtu mweusi ni cursed?Endeleeni kulinda mashamba yao kwa kuwatukuza.....View attachment 1912698
Ipo habari inasema kulikua na baba ambaye alikua ana watoto wakiume watatu, siku moja alilewa akakavaa gagulo vibaya akawa uchi
Mtoto wake mmoja alivyoona utupu wa baba yake akacheka, akawaita na wenzake waone. Lakini hao wenzake walipoona hali ile waligeuka nyuma na kuchukua shuka kisha wakawa wanamfata kinyume nyume baba yao na kumstiri
Mdingi baada ya pombe kumuisha akasema kuanzia leo wewe uliyenicheka utakua tegemezi kwa hawa wenzako na rangi yako na uzazi wako utakua ni mweusi na utachukiwa na hawa ndugu zako
Huyo jamaa aliye kachwa na dingi ndio sisi