mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Ni marachache sana kukuta mwanaume wa kizungu akiwa na demu wa kibongo(mbantu) aliyetulia,mwenye kujiheshimu,mwenye elimu au hata mwenye kazi mzuri. Badala yake ukikutana na hawa wazungu huku mitaani utakuta yupo na demu ambaye unashindwa kumjudge!! yaani teja si teja....changudoa si changudoa....bangi si bangi....yaani nguo utazoona amevaa huyo mwanamke utasema ameokota jalalani! .....yaani mchafu kwenda mbele. Pita maeneo ya posta, masaki,osterbay,kariakoo nk. utajionea mwenyewe. Swali langu ni - Hawa mashemeji zetu wazungu kwanini wanapenda mademu wa sampo hii? kwanini wasiwe na mademu wenye sifa nilizozitaja hapo juu? Au kuna siri iliyojificha?
Nakaribisha mgongano wa kimawazo na kimtazamo:- Ahsanteni
Nakaribisha mgongano wa kimawazo na kimtazamo:- Ahsanteni