Wazungu Christian wa AK kuanza kuhamishiwa USA, Ndege ya kwanza kuanza uhamisho!

Wazungu Christian wa AK kuanza kuhamishiwa USA, Ndege ya kwanza kuanza uhamisho!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,211
Reaction score
14,800
raisi D.Trump kama alivyoahidi ameanza kuhamishia Wazungu ktk AK kwenda moja kwa moja USA ambapo watapewa ukimbizi na citizenship straight a way na kuwa integrated in the amerikan society.

sababu kuu ya raisi wa USA kufanya hivyo ni know how na ujuzi ambao hawa Christians ktk AK wanao, kuanzia kwenye kilimo, mining, trade and commerce yote hiyo wanakwenda kuiwekeza USA thats how USA wa built and became what is.

masikini Cape town, ni bonge la city lkn bila ya Christians itakuwa kama manzese ya tanzagiza …
 
Afrika ya kusini ni CCM iliyochangamka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom