Eti huyu kichwa panzi anasema wazungu hawacheat?? Hoja zake ni za kijinga mpaka inatia hasira, kwa anataka kusema cheating is a middle name of 80% of Tz men?? Takwimu za wapi na kazipata wapi na kazilinganisha na zipi , kutoka wapi??
Watu wengine sijui mmeishi na wazungu gani tu. Mambo ya ngono na infidelity hayana rangi - case in point - John Edwards, Mark Sanford, Newt Gingrich, John Ensign....I can go on and on and on to no end....
Abdulhalim, hebu niambie ni wapi hujamwelewa huyu dada vizuri? Of course, these are not real statistics - they are a reflection of objective observations from many friends, colleagues, relationships/marriages she knows, and I would tend to concur with her! Kweli unaweza kucompare cheating ya wazungu na ya wabongo?!?!? Bongo cheating imekuwa the norm, siyo the exception. Hujasikia wanaume wakisema, "aisee, nilipokuwa chuo bwana, hamna bweni ambalo sijalala [akimaanisha kuwa ameshafanya ngono na wanawake wa kila bweni], ama kama dada anavyosema "[wanafanya] nao ngono halafu wanakaa bar na kuanza kuhadithia rafiki zao, 'Yule demu yuko hivi yuko vile', huu mji ni mdogo sana, unaingia sehemu unadhani umevaa nguo kumbe watu wanakujua ulivyo ukiwa uchi…". Tena five doubles or lagers into the evening, hizo ndizo story utakazozisikia?
Na siyo kwenye fidelity tu. Vipi, unaona kweli mwanamke anathaminiwa? Anafanya the majority of work, yupo responsible for house/children, lakini halipwi na often hana mamlaka yeyote na pesa za mumewe. Mi baadhi ya wafanyakazi wenzangu wanawake wanaomba ruhsa [siyo kuwaarifu waume zao] kwa woga wakitaka kutoka get-together ya idara. Mpaka mimi, kama mkuu wao wa idara, nitafute namna ya kuwaambia waume zao au kuwaandika barua inayothibitisha kwamba kuna tukio la idara. Male domination in full swing. Mwanaume wa kizungu hana hizo.
Nimekaa Ulaya 9 years. I tell you they are different! Huku, mwanamke haheshimiwi hata akitoa hoja. Usishangae kuna members wa JF ambao ni wanawake wenye male profile kwa sababu inawapa fursa ya kuchangia hoja bila ya kudharauliwa kama walivyozoea kudharauliwa katika mazungumzo. They never feel that a man takes them serious when they voice their opinion. All because views zetu kuelekea wanawake wetu bado ni premature.
Of course, kuna wanaume ambao wakisoma post ya huyu dada watapinga out of pride, maana imehatarisha nafasi zao za ubabe/domination na inatia hofu kujua kwamba it is an increasing trend for women to prefer wazungu. Mi naiona post yake kama changamoto kwetu kubadili mitazamo yetu. Most wome want love, respect, dignity, committment [yes there are those who want money, but they'll get their unfaithful men, and leave the decent men to the decent women]. Tukiwapa machache hayo, hawa wazungu hawatacheza tena sana kwenye anga letu. After all, we're much more good looking than them!
Mapenzi ni mapenzi no matter yanatoka kwa mzungu au Mtanzania,pia watu wote wanacheat wawe wazungu au Watanzania,Dunia ya sasa imeharibika hakuna uaminifu kabisa!!!
Baba yangu mzungu, mchanganyiko Irish/dutch
Mama yangu msambaa lakini nilishangaa jana kukuta hii post kule JIACHIE.
JE NI KWELI KUWA WANAUME WAKIBONGO HAWANA MPANGO?
Sunday, January, 17, 2010
Salama jamani huko??
Kuna huyu dada mmoja wakiTanzania, yeye baada yakuolewa na mzungu anaona kuwa manamume wakibongo hawana mpango. Hebu soma hii blog yake....
Ni kweli wajomba zangu wakiswahili ni wayeyushaji?
Im not a great writer, that is evident. Sijui kupangilia sentensi zangu…..so bear with me
Sasa leo nataka tuweka wazi swala zima la wasichana wa kitanzania kuolewa au kuwa na maboyfriend wa kizungu.
Mimi binafsi nime-notice kwamba wasichana wengi wa kitanzania wamekuwa wakiona kwamba kuwa na boyfriend ama mume ambae ni mzungu is actually an achievement in life. Na wengi wamekuwa hawataki kabisa hata kuwa na ma-boyfriend ambao ni waa-africa especially watanzania.
Na kuna wasichana ambao nawajua ambao wako kwenye relationships na mwanaume wa kitanzania lakini anaeleza wazi wazi kwamba anatamani apate mwanaume wa kizungu.
Mdau wewe unanaoje swala hili? Je hawa wasichana ni kwamba they are shallow and stupid? Or are they very smart???
Really kabla huja-judge na kutuma comment za kuwatukana lifikirie hili swala vizuri…
Mimi personally naona kuna 2 sides to this issue.kuna wale ambao watanaka kuwa na wazungu na hawataki ku-date watanzania wenzao kwasababu za kijinga na zisizo na msingi,
1st side…
Kwa mfano kuna wengi facebook unaona mtu akipata boyfriend wa kizungu basi anamwaga picha zake na mzungu facebook, sasa hizo comments za marafiki nayeye mwenye mchumba ndio zinazotuharibia wengine wote..nashindwa kuelewa kabisa ni kwanini mtu akiweka picha yake na mzungu facebook basi kila mtu anamwandiki comment ‘UKO JUU', ‘UMEOPOA MAMA UKO JUU' , ‘KWELI MUNGU MKUBWA' , ‘RISKI ZIMEFUNGUKA MWAKA HUU', KWELI MUNGU AMEKUKUMBUKA' , comment kama hizi na zingine za disini hii zinanisikitisha mno…jamani hivi kweli kuwa na mwanaume mwenye ngozi nyeupe ni kitu cha maana kiasi hiki? alafu hivi kweli tumejishusha utu wetu kiasi cha kwamba tunafurahia in public? Kwanini msiweke comment kama ‘u look happy' ,'hongera kwa kupata mchumba and so forth' …kuwa na mzungu sidhani kama inamaanisha uko juu or whatever. (kama moja ya comment nilizoandika hapo zipo kwenye picha yako ,please usijisikie vibaya, niliitumia tu kama mfano ili kuwapa wasomaji wangu picha kamili,its really not about you)
hivi kweli hawa wazungu wenyewe wangekuwa wanajua kusoma Kiswahili humo facebook ingekuwaje??
Wanawake wenzangu wa kitanzania, tuache kujiabisha na hili swala zima la mzungu mzungu mzungu, especially kwenye facebook, mtu akikuwekea comment ya kishamba kama hizo hapo juu usiishadadie sana, ikiwezekana i-delete akuwekee comment ya maana, …
Kama wewe ni mwanamke ambae kupata mzungu is an achievement basi , I am sorry to say ,you are without a doubt a loser,
Wazungu wanamatizo mengi tu, na hata ukiangalia the highest divorce rates in the world zipo western countries na sio kwetu.
na kwa wale wenzetu wanaodhani wazungu wote wanapesa na kwamba atakuhonga basi unajidanganya kabisa, mzungu sio muhongaji , kama unataka kuhongwa bora mapedeshee ya kibongo litakununulia hata gari baada ya kukujua kwa siku chache tu.hahahahha….
Wazungu wanachukua muda wao kumsoma mtu na tabia zake, na kama kuna chochote atakachokufanyia ni baada ya muda mrefu na kwamba umeshakuwa mke wake au labda anahisi utaishia kuwa mke wake.
Na pia ndugu zetu wa kibongo wanaweza kuishi na mwanamke asie na income yoyote, na asiejishughulisha la lolote, asilimia kubwa ya wazungu hawawezi kabisa hii tabia.
So kabla hujarukia na kugeza watu, angalia usije kuchanika msamba…lol….
2nd side…
Kuna wale wasichana wa kibongo wanaotaka kuolewa na wazungu for the right reasons. Hao ndio ninaowalewa mimi…
Ukweli lazma tuuseme leo…
Asilimia kubwa ya wanaume wa kibongo ni miyeyusho mitupu , tuseme labda 80%....sasa wewe utakuwa na bahati gani mpaka upate mmoja wa hiyo 20% ambao ni wastaarabu.
Ukweli ni kwamba, nikiangalia rafiki zangu walioolewa na wanaume watanzania na walioolewa na wanaume wazungu, walioolewa na wazungu, are way more content in their marriages, ofcourse kuna exception za rafiki zangu wachache waliiolewa na wabongo na wana-enjoy ndoa zao na ndoa zao haziwapi homa kila siku…
Mie nafikiri,wanawake wengi wa kitanzania wameamua kuwa na wazungu kwasabu wanatafuta pumziko la roho…ukweli ni kwamba wanaume wengi wa kitanzania wanasumbua mno tena kupita kiasa.
Mwanaume wa kitanzania amelelewa akiona baba yake ana wake wawili na nyumba ndogo kama tatu, je unadhani yeye atakuja kuwa mume wa aina gani???? Mwanaume wa kitanzania anajiona ni mwanaume kamili zaidi kama anawanawake wengi, na kitu ambacho yupo proud nacho kiasi ya kwamba anaweza kukaa na rafiki zake bar akaadisia jinsi gani anawanawake wengi na wenzio wakamuona ‘YUKO JUU'….
Mwanaume wa kizungu, hajakulia kwenye mazingira haya and automatically ipo kichwani mwake kwamba anatakiwa kuwa faithfull kwa mke wake na kumtreat as an equal.hata ikitoea akawa macho juu akapata kidosho nje, atajificha, hutojua lolote na ni jambo la aibu sana kwake kiasi cha kwamba hawezi kuongelea hadharani.
Umeona tofauti hapo?
Huwa nasikitika sana, nikienda disco, unaona kabisa janamme lina mke na watoto, lipo disco na totos nyingine na anajua unamjua mke wake na labda utamueleza lakini haogopi kabisa,
Hivi kweli hapo unaweza kumlaumu mtoto wa kitanzania akianza kutafuta mzungu??? Anakuwa ni kwamba ameamua hataki kuumizwa roho yake wala akili yake ana anataka kuishi maisha yake in peace.
Sio kwamba wazungu hawacheat au na wao sio washenzi wakati mwingine, tofauti ni kwamba hiki sio kitu cha kawaida kwao na hata akiwa mshenzi basi huu ni samaki mmoja mmbovu,inabidi tu awekwe kwenye kapu la pekee…lol…
Mwanaume wa kitanzania, kama hajatembea na rafiki zako,au mtu ambae unamjua basi haoni raha kabisa,
And whats worse, wanaume wa kitanzania haachi mke wake hata siku moja, atamtesa mke wake miaka kibao lakini hamuachi..yani mmbongo atakufanyia vituko weeeee mpaka utaondoka mwenyewe utarudi kwenu, but mzungu akipata mtu nje, atakuja kukwambia on your face, i don't love you anymore,I love somebody else. Ofcourse inauma sana but atleast utakuwa umeachwa with respect, lakini kaka zetu atamake sure amekutoa all your dignity, kakuabisha mji mzima, amekutoa confidence yote ndio anakuacha…lol…
Na wasichana wengine wameniambia pia wanachukia tabia za kaka zetu za kufanya nao ngono alafu wanakaa bar na kuanza kuhadithia rafiki zao, Yule demu yuko hivi yuko vile, huu mji ni mdogo sana, unaingia sehemu unadhani umevaa nguo kumbe watu wanakujua ulivyo ukiwa uchi…
Basi siku hizi utawasikia wanaume wa kitanzania wanatukana hawa wanawake wetu wanatamaa sana, sijui wanawafatia nini wazungu,kila mtu mzungu,kila mtu mzungu.
Kaka zetu you are the best, lakini badilisheni tabia zenu….
Kuwa na wanawake wengi sio haki yako.sana sana ni kujitafutia magonjwa na kumpelekea mkeo asie na hatia.
Tunawapenda sana, lakini anzeni kutu-treat with respect ,love and humanity.
Ni hayo tu wadau kwa leo ambayo nimeweza kuyaelewa ndani yah ii issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu…….
wewe una yapi mdau?
ps. nitaweka comments zote ila zisiwe na matusi au majina ya watu..
http://michuzijr.blogspot.com/2010/01/je-ni-kweli-kuwa-wanaume-ma-wa-kibongo.html#comments
I don't think it's based on "NOTHING - nothing at all". No one may have collected quantitative info on this ([that I know of], as a research like that would have its limitations anyway) but TZ is a country in which women, in general, are yet subject to their husbands' and other men's moods and can do nothing about that. Many are beaten and have no way of leaving home. Many are raising their children without support from their fathers and their fathers can get away with it. What makes you think that infidelity will not flourish in a society in which women have only just started getting out of a dependency mentality than in one that has had, for instance, the suffregette movement some 100 years ago? Katika suala hili bado tuko nyuma!Umesema vyema sio real statistics. Sidhani kama ninalo la kuongeza. Maana shida yangu ni statistics kama hakuna mtu anazo this problem is reduced into 'maneno ya saluni' in logic its some version of Hasty Generalization based on NOTHING. Nothing at all.
I don't think it's based on "NOTHING - nothing at all". No one may have collected quantitative info on this ([that I know of], as a research like that would have its limitations anyway) but TZ is a country in which women, in general, are yet subject to their husbands' and other men's moods and can do nothing about that. Many are beaten and have no way of leaving home. Many are raising their children without support from their fathers and their fathers can get away with it. What makes you think that infidelity will not flourish in a society in which women have only just started getting out of a dependency mentality than in one that has had, for instance, the suffregette movement some 100 years ago? Katika suala hili bado tuko nyuma!

weka data
Abdulhalim, hebu niambie ni wapi hujamwelewa huyu dada vizuri? Of course, these are not real statistics - they are a reflection of objective observations from many friends, colleagues, relationships/marriages she knows, and I would tend to concur with her! Kweli unaweza kucompare cheating ya wazungu na ya wabongo?!?!? Bongo cheating imekuwa the norm, siyo the exception. Hujasikia wanaume wakisema, "aisee, nilipokuwa chuo bwana, hamna bweni ambalo sijalala [akimaanisha kuwa ameshafanya ngono na wanawake wa kila bweni], ama kama dada anavyosema "[wanafanya] nao ngono halafu wanakaa bar na kuanza kuhadithia rafiki zao, 'Yule demu yuko hivi yuko vile', huu mji ni mdogo sana, unaingia sehemu unadhani umevaa nguo kumbe watu wanakujua ulivyo ukiwa uchi ". Tena five doubles or lagers into the evening, hizo ndizo story utakazozisikia?
Na siyo kwenye fidelity tu. Vipi, unaona kweli mwanamke anathaminiwa? Anafanya the majority of work, yupo responsible for house/children, lakini halipwi na often hana mamlaka yeyote na pesa za mumewe. Mi baadhi ya wafanyakazi wenzangu wanawake wanaomba ruhsa [siyo kuwaarifu waume zao] kwa woga wakitaka kutoka get-together ya idara. Mpaka mimi, kama mkuu wao wa idara, nitafute namna ya kuwaambia waume zao au kuwaandika barua inayothibitisha kwamba kuna tukio la idara. Male domination in full swing. Mwanaume wa kizungu hana hizo.
Nimekaa Ulaya 9 years. I tell you they are different! Huku, mwanamke haheshimiwi hata akitoa hoja. Usishangae kuna members wa JF ambao ni wanawake wenye male profile kwa sababu inawapa fursa ya kuchangia hoja bila ya kudharauliwa kama walivyozoea kudharauliwa katika mazungumzo. They never feel that a man takes them serious when they voice their opinion. All because views zetu kuelekea wanawake wetu bado ni premature.
Of course, kuna wanaume ambao wakisoma post ya huyu dada watapinga out of pride, maana imehatarisha nafasi zao za ubabe/domination na inatia hofu kujua kwamba it is an increasing trend for women to prefer wazungu. Mi naiona post yake kama changamoto kwetu kubadili mitazamo yetu. Most wome want love, respect, dignity, committment [yes there are those who want money, but they'll get their unfaithful men, and leave the decent men to the decent women]. Tukiwapa machache hayo, hawa wazungu hawatacheza tena sana kwenye anga letu. After all, we're much more good looking than them!
Why do most pple get reduced into thinking of a central brain phenomenon. Kwamba Tanzanian men have a single central brain na kila kitu kinatokea hapo, na wazungu ni individuals............ Hii mijadala mingine ianonyesha ni jinsi gani jamii yetu inavyoendeshwa na myths. We need myth busters........don't we????????? Adam and Jamie welcome to Tz.
Mapenzi ni mapenzi no matter yanatoka kwa mzungu au Mtanzania,pia watu wote wanacheat wawe wazungu au Watanzania,Dunia ya sasa imeharibika hakuna uaminifu kabisa!!!