Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 383
- 347
Habari za leo...
Naamini hapa JF kuna watu ambao tayari wameshawahi kununua bonds na wanaufaham wa jinsi ya kushinda minada ya hati fungani.
Nimelenga kuwekeza kwenye bonds za muda mrefu (25 Years), nimesikia hizi zina competition kubwa sana kwa kushinda kwenye mnada wake si kazi rahisi. Hivyo basi kama kuna watu wazoefu naomba kupata process nzima ya namna ya kununua na ni vitu gani nizingatie ili niweze kushinda kwenye mnada.
Natanguliza shukrani.