Wazoefu wa startimes, msaada

Harrykany

JF-Expert Member
May 10, 2019
615
662
Nimeweka Leo king'amuzi cha startimes lakini kitu, kinacho nishangaza ni hiyo black color kwenye kuonesha picha, vipi hapo nawezaje kulimaliza hilo tatizo, sipati raha kabisa, au shida itakua Ni TV au king'amuzi chenyewe, TV yenyewe Ni ya chogo kubwa,

IMG_20210323_195202.jpg
IMG_20210323_195202.jpg
 
Hongera Sana
Umepata Video Yako Unajiachia Tu Raha Duniani
Kama Members Walivyokushauri Hapo Juu
Chukua Remote Ya Television Uende Upande Wa Colour Uiongeze Itakuwa Sawa Sawa!!
 
Hongera Sana
Umepata Video Yako Unajiachia Tu Raha Duniani
Kama Members Walivyokushauri Hapo Juu
Chukua Remote Ya Television Uende Upande Wa Colour Uiongeze Itakuwa Sawa Sawa!!
sawa wajina
 
Tatizo lipo kwenye wire tafuta zile nyaya zilizoshikana tatu rangi ya kijani,nyeupe,nyekundu.then chomeka kwa kin'gamuz chako hali kadhalika tv,ukifuata rangi na wire wake
 
Tatizo lipo kwenye wire tafuta zile nyaya zilizoshikana tatu rangi ya kijani,nyeupe,nyekundu.then chomeka kwa kin'gamuz chako hali kadhalika tv,ukifuata rangi na wire wake
. Mkuu yaan izi waya Za startimes zina kichwa upande mmoja, Ni 3in1 kwelekea kwenye TV ndo zipo tatu njano nyekundu na nyeupe, kule kwenye king'amuzi kuna njia moja kama, kichwa cha earphone
 
Back
Top Bottom