kupatwa
Member
- Sep 12, 2016
- 24
- 12
Wakuu habari za usiku! Baada ya ubize wa miaka mingi sasa nimerudi mtaani rasmi , cha ajabu mbinu za kunasa mdada wa kuoa sina kabisa , yaani nilivyoanza kuwa busy enzi hizo na Uwezo ukapotea. ... em wazoefu tupeni mbinu , muwasaidie na wale midomo kilo 100,
naogopa Kula ckukuu mwenyewe
naogopa Kula ckukuu mwenyewe