gaba peter
Senior Member
- Jan 7, 2016
- 178
- 65
toa heraaaaa watakuelewa tuuuu
Mamii,hata mimi nilifikiri hivo,ina maana kutongoza inakuja automatic au?,maana ni somo gumu kufikisha ujumbe mrembo akuelewe au nakosea?Kutongoza Nako unafundishwa?
Kama ni hivyo,basi mimi nakupenda mamii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Hajui kama mkono mtupu haulambwi
Kweli ulikua busy asee hadi ku quote umesahau....Raha ya pesa uipate ujanani Kaka mshana, ilibidi niwe busy 6 yrs kuandaa flow ya pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Kweli ulikua busy asee hadi ku quote umesahau....
Asee mbona hulali.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
[emoji57][emoji57][emoji57]Kama ni hivyo,basi mimi nakupenda mamii.