Wazoefu wa hili Jambo niambieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazoefu wa hili Jambo niambieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Andrew Jr, Apr 28, 2012.

 1. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mwezi wa 6 mwaka huu nataraji kumaliza chuo nikahangaikie ajira.
  Nikiwa mwaka wa kwanza nilipata mpenzi ambaye tunapendana saaana na lengo letu ni ndoa takatifu. Namheshimu sana mana ana msimamo.
  Wana JF kwa hali ya kawaida ukiwa unaanza kazi hali huwa inakuwa tete, je nifanyeje niinuke mapema ili nifikie malengo ya maisha, then aliyewahi kutoka na mpenz cuo wakahangaikka wote hadi wakafanikiwa kuoana anipe uzoefu
   
 2. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umuhimu ni uaminifu kati yenu.malengo ni mengi na pia kuyafikia ni mipango ya mungu.Nlikuwa na galfnd wangu.tulimaliza chuo pamoja.mimi nkapata kazi songea,yeye kapata dar.2liendelea kuwasiliana,mipango mingi,lakini ilifika wakati kila mtu akapata company ya watu wengine huko alipo.Malengo yetu yalipotea.Natarajia kuoa mwakani.kaolewa mwaka jana.Ni kweli,kwenye swala la ajira ni tete hapo.Especially,ikitokea long distance.Ila kama mungu amepanga,no matter what,mtafanikisha.
   
 3. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ndo yule aliekuzidi umr?si ulisema mnapendana sana,sasa vp tena?
   
 4. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ukweli ni kwamba ni ngumu kidogo kutoka na mpenzi chuo paka huku duniani,mara nyingi kuna vikwazo vinatokea hapo katikati mkuu,imagine unapangia kazi kigoma demu anabaki dar, pamoja na hayo yote jipe moyo ka ni mpango wa Mungu ni possible mkuu!
   
 5. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Thank you,
   
 6. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Si kwamba kanizidi umri, tunalingana, yeye nitamwacha chuo mana anasoma sheria na wao wanasoma miaka 4 so kabakisha 1. but hili nililoleta kwenu nalo limeniingia akilini ikabidi niwaulize. Kuwaza mbali ni kwaida
   
 7. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Asante kiongozi,
   
 8. k

  kagame Senior Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hali uliyonayo sidhani kama utavuka salama coz ushaanza kujiwekea mashaka kama utaweza kuachieve your dream na mpenzi wako, au kuna hoja umeificha kuhusu misingi ya mapenzi yenu? Kuna uwezekano umetoa ahadi nyingi kipindi cha mahusiano yenu au umejiuza kwa sifa zisizo zako.
  Yote uliyosema yanawezekana, kama mna mipango ya kuja kuishi nyote maishani cha msingi ni kusimamia ahadi yenu na kukumbushana wapi mmetoka na nini malengo yenu, kufanikiwa kimaisha baada ya kumaliza chuo ni mipango ya mwenyezi mungu yeye ndo mpangaji wa riziki za wanadamu, usilazimishe.
  Nilipita kwenye dillema kama yako, nilijiingiza kwenye mapenzi na mtu ambaye leo ni mke wangu nyakati za elimu ya sekondari, nikamaliza chuo udsm 2007 tupo together, nikapita msoto wa more than a one year bila kazi nipo nae by that time yeye ndo alikuwa chuo so ata hela ya misele ya town kuhustle alikuwa akinipa yeye but suddenly nkapata the best job with the best pay, two years nkaachieve kila kitu cha maisha ya kisasa na kwa kijan wa kileo anachostahili kuwa nacho, 2010 tukafunga ndoa takatifu st Joseph, leo ni ndoa yenye loved baby boy.

  My take: aidha badili stori au ahadi hewa ulizoingia nazo kwa binti wa watu, onesha rangi yako halisi ili binti ajue anamove na mtu wa kariba ipi then wekeni malengo na muwe mnakumbushana, mwisho mungu atawasaidia kufikia ndoto yenu.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa unamuhonga boom kwa sana?
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hapo kazi unayo,kwanza wewe wa kwanza kumsaliti.kama huamini subiri uone mwenyewe
   
 11. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  We sema usha pata mchuchu mwingine acha kuzingua...
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Asikwambie mtu kaka piga mimba kwanza halafu mambo mengine yatanyooka yenyewe.Usipofanya hivyo utajuta maisha yako yote.
   
 13. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Nashukuru kwa ushuhuda wako na ntaufanyia kazi.
  Kiukweli sikuwahi kuahidi kitu cha mbali ambacho nitashindwa kutimiza kwa badae. Anayafahamu maisha yangu kiundani na tangu tumeanza uhusiano mpaka sasa hata bajeti ya matumizi yetu tunapanga pamoja. Labda nahisi ni wasiwasi wangu tu.
  Pongezi nyingi kwako na fomilia, mpe hi jembe baba
   
 14. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hapana mandingo, nimeapa kutokumsaliti hata kwa dawa
   
 15. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hapana hele yeyote tunayopata lazima tuipangilie pamoja nae mpaka sasa ndivyo tulivyo
   
 16. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Maranyingi college love huishia hapo getini! Endapo itakua hivyo usiwaze, usisononeke, maana maisha ndivyo yalivyo na taifa lakutegemea, .
   
 17. J

  Johnbosco Mligo Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  salam tele kwa mwenye mada hii! kwa uhakika nimeisoma mada yako na kuelewa ushauri unaumba. nami katika udogo wangu na jambo la kukuchangia kimawazo.

  katika maisha, wengi huwa tumafanya kosa moja! nalo ni kuchanganya kati ya kufuata ushauri wa watu uwe mzuri au mbaya na kufanya maamuzi yetu wenyewe. kwa sababu hii watu waliowengi huwa wanaomba ushauri na kuufuata bila kuchambua kwa makini eti tuu kwa sababu fulani alifanya na akafanikiwa! nimesoma ushauri wa watu wengi kwenye thread hii na nikaona iwepo haja ya kukutahadharisha kwa hili.

  ili mmoja afanye maamuzi sahihi katika kila jambo yampasa kwanza aangalie lengo la kile akifanyacho, mazingira na muda. na kwa mantiki hii hata akili ya kawaida ya mtu hupimwa! wengi wamesema mengi tayari kwenye thread yako na kwa kutumia uzoefu wao. je! wewe mwenyewe umeingia ndani ya moyo wako na kutafakari kwa kina kuhusiana na jambo unalotaka kulifanya, hasara na faida zake? kama hilo umefanya ukagundua faida ni kubwa kuliko hasara, hakuna shida waweza songa mbele wewe na huyo mwenzi wako!

  ilifaa pia wewe na huyo mwenzi wako mliangalie hili kwa kina, kama kweli mnadhani inawezekana wote kwa pamoja, bila kuvutiwa zaidi na hisia zenu za mapenzi. wakati fulani mapenzi yanaweza kuwanogea mpaka mkadhani kila kitu kinawezekana! kumbe suala la kuishi wawili lataka heshima kuu na bidii isiyokoma.

  kuna mahali nimeandika angalia wingi wa faida na hasara kisha uamue, ndio, nimeandka hivyo makusudi kwa kuwa hakuna maamuzi yoyote yaliyo chanya tuu chini ya jua! hasi haiepukiki kwa kila jambo!

  mwisho nasema "ningelikuwa wewe", ningejipa mda kwanza wa kuishi na kuyatathmini maisha bila kuwa na mtu yeyote wa aina hiyo, maana katika utulivu mkuu watu huweza kufanya maamuzi sahii, miezi sita au mwaka mzima ungenisaidia kuliko kufanya maamuzi bila upembuzi yakinifu bila practical, ndio maan walatini wanasema, "experiensa docet" so go and get a pure lived experience and then enter into the real decisions without being biased by any sort of illusions! mind u kwamba, wanafunzi wengi huwa na alot of illusions 'ideas' wanapokuwa chuoni wakifikiri kuwa maisha ni kama wanavyofikiri na ni rahisi kama wanapokuwa wanafunzi kumbe ndivyo sivyo!

  sor kama ntakuwa nimekuboa mzee, huo ni ushauri tuu mzee!
   
 18. mayuni

  mayuni JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mapenzi hayana mwenyewe
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,688
  Likes Received: 12,725
  Trophy Points: 280
  Hapo umenena,chakufanya msabishe atafute ndimu,alaf amwambie ukweli kuwa hana pesa zilikuwa za bodi ya mkopo tu! hau akishindwa ni kumuacha mapema maana kwa jinsi unavyosimulia akikuacha wewe utalia na kusaga meno.
   
 20. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hapana hujanikera nazidi kujenga fikra yakinifu.
   
Loading...