Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,593
Hello JF,
Leo nilikua na wazo,
Wajitokeze kila Forum, watu waliobebea kwenye fani, either kwa Elimu ama Experience, wajiunge as Verified Users. Atakae wadharau au kutumia lugha ya kebehi kwao, apewe ban. Wamwage utaalamu wao,Jukwaa la ma enigneers, madoctors, economists, etc,
Nachotaka kuunda ni Indepent body inayoweza kumsaidia Rais katika Nyanja mbali mbali, sidhani kama huwa anapitia nyuzi zote humu. Ukiweka hao watu unakua umempunguzia mzigo wa kutafuta topics zenye tija, ataenda direct kwa mfano kwa Dr Hamidu au mtaalamu wa maji, Erica.
Hao watu wachochee moto wa Maendeleo. Tena, itawafanye wafahamike zaidi na pengine kupata deals nje ya JF,
THIS HOW JF CAN MAKE BIGGER IMPACT TO THE SOCIETY