Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Hii policy ya Tanzania ya viwanda ni ya kihuni na haitekelezeki...mimi ni mtu nisiyejulikana!kwa nini unaogopa kujianika mkuu??
kuelekea serikali ya viwanda,mtatafuta wenyewe kujulikana,
watu professional hawafich taaluma zao,
kuna mitandao kama LinkedIn,watu wameweka profile zao wazi,
huko tunakokwenda hata nyie mtaona umuhimu wa kuweka wazi,
lastly,sina profession yoyote ndugu,
ndio maana nahimiza,JF isiwe just for fun,we can learn while we are having fun