Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums

Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums

you don't get it either........

going through all the posts hapa JF,it can be difficult task for our president,...................

I have proposed this so that,we can tap proffesionals out of thousands of Jamii Forums users and get professional help suited for his needs,.........................

Again,sijasema Rais hana washauri,nimesema apate ushauri nje ya watu anaowazunguka ,kumbuka wale wanaomzunguka wanaweza kuwa biased na kuwa na interest zao binafsi,ila hawa tutakaokua nao watatoa ushauri independently,

Kusaidia Taifa,wote tunasaidia mkuu,ila kama ulitoa topic,na muda umepita imebaki kwenye makabati ya Jamii Forums,hio haujaisaidia Taifa sababu mchango wako umeishia hapo,tunataka proffessionals kutuongoza kwenye actively/engaging arguments hapa JF.
To cut it short, hili siyo jukwaa la maoni kwa rais awaye yote! Anaweza kusoma au asisome. It's up to yeye!
 
Hello JF,

Leo nilikua na wazo,

Wajitokeze kila Forum, watu waliobebea kwenye fani, either kwa Elimu ama Experience, wajiunge as Verified Users. Atakae wadharau au kutumia lugha ya kebehi kwao, apewe ban. Wamwage utaalamu wao,Jukwaa la ma enigneers, madoctors, economists, etc,

Nachotaka kuunda ni Indepent body inayoweza kumsaidia Rais katika Nyanja mbali mbali, sidhani kama huwa anapitia nyuzi zote humu. Ukiweka hao watu unakua umempunguzia mzigo wa kutafuta topics zenye tija, ataenda direct kwa mfano kwa Dr Hamidu au mtaalamu wa maji, Erica.

Hao watu wachochee moto wa Maendeleo. Tena, itawafanye wafahamike zaidi na pengine kupata deals nje ya JF,

THIS HOW JF CAN MAKE BIGGER IMPACT TO THE SOCIETY
Ww taaluma yako ni ipi???
Mm ni mtaalamu wa magonjwa ya akina mama

Kumkoma nyani geladi
 
you don't get it either........

going through all the posts hapa JF,it can be difficult task for our president,...................

I have proposed this so that,we can tap proffesionals out of thousands of Jamii Forums users and get professional help suited for his needs,.........................

Again,sijasema Rais hana washauri,nimesema apate ushauri nje ya watu anaowazunguka ,kumbuka wale wanaomzunguka wanaweza kuwa biased na kuwa na interest zao binafsi,ila hawa tutakaokua nao watatoa ushauri independently,

Kusaidia Taifa,wote tunasaidia mkuu,ila kama ulitoa topic,na muda umepita imebaki kwenye makabati ya Jamii Forums,hio haujaisaidia Taifa sababu mchango wako umeishia hapo,tunataka proffessionals kutuongoza kwenye actively/engaging arguments hapa JF.
Rais ni taasisi si lazima apitie kama yeye, idara yake ya habari ndio kazi yao kupita katika vyanzo vua habari na si JF tu.

Msolo
 
"Unasema tumsaidie kumpa ushauri rais..?
Rais mwenyewe anasema anataman siku moja ije aone mitandao ikifungwa.
Bashite kanunua jina na vyeti rais hajatambua hilo? au tumpe ushauri upi?
Ndani ya tanzania kuna tanzania mbili kama nchi tofauti
1. Nchi ya watu wasiojulikana
2. Nchi ya watu wanaojulikanaa
Hapa nashindwa kuelewa wewe bidada unaishi nchi ipi kati ya hizi
 
1) siyo malengo ya JF
2) Rais hajakosa ushauri / washauri, kwa maana ana means nyingi sana za kupata ushauri toka kwa wenye data za kueleweka, na siyo huu wa kuokota okota huku jf
3) watu wengi sana wanapita humu na kuna kitengo ambacho anakiamini sana kinapita humu na taarifa anapata.

Kama huamini jaribu kumkejeli uone kesho yake kama hajakuita mezanii. Hivyo basi kama kuna la maana analipata vizuri

4) wapo ma professor huko kazi yao kuandika papers na data lukuki akitaka anapata saa yoyote. Tena professional data
5) serekali inamikono mingi na mirefu ikiamua kitu inapata kwa wakati.

Hivyo tuachie jf yetu kama ilivyo

Anyway kwani wewe umependezwa na nini haswaa ulichotamani mzee akipate. Kutoka humu. ????
Una m tag mmoja wao atapeleka.
Umenena Mkuu!
Serikali ina Masikio na Macho Makubwa Na Mikono kila Sehemu!
 
Back
Top Bottom