NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,314
Nayaweza yote katika yeye anitiaye NGUVU
Haya wee labda kama yule mkenya mtekaji bado yuko jera. Mmmh lakini wale alioshirikiana nao wapo inje so watch out!
Nayaweza yote katika yeye anitiaye NGUVU
unatumia kinywaji mkuu??hebu popote ulipo,kwa posti hii,waambie wakupe mpaka ukimbie kwa bill yangu!
am a victim wa hawa ''wakataa shule'' wasiojiamini na kuona tu wanadharaulika hata kuuza utu wao na kupuuza maadili ya kazi yao na kunyanyasa mno raia kwa kutumia resources zinazopatikana kwa raia hao hao kulipia kodi!!!!nimeshuhudia wakinipa kesi ya kipumbavu kabisa na zaidi sana nikiwa kwenye gari lao,mpuuzi wao mmoja akiendesha kagari kangu hovyo hovyo mpaka akakagongesha!!,nimeshuhudia wakikamata watu kwa kuwaita wakiwa mbali kabisa na kuwapa kesi wakisogea tu na kuwapora fedha na vitu vya thamani!
sina heshima nao na kiukweli sijioni salama with cops around,kabisa and i really hate them na ujambazi wanaoufanya!!
kutokana na wimbi la mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi kote nchini inashauriwa kuwa kila kituo cha polisi ijengwe mortuary ili maiti zote zinazotokana na mauaji ya polisi zihifadhiwe huko! Hii itapunguza msongamano wa maiti katika mortuary za hospitali na pia kupunguza adha inayowapata watunza mortuary za hospitali hizi za umma!
Tafadhali tujadili kwa hoja!
Mama kama unavyoona katika maelezo ya ID yangu, nipo Bulambya, Ileje - Tanzania!Hivi wewe uko tanzania, kenya, uganda, burundi, rwanda, somalia, ethiopia, botswana, siera leone, mozambique, zambia, misri, iraq, iran, libya, saudi arabia, congo brazavile, drc congo, south africa, southermton, maana umeongea la maana sana ungekuwa karibu yangu ningekupa zawadi y a high 5,
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]mwananyamala hospitalKutokana na wimbi la mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi kote nchini inashauriwa kuwa kila kituo cha polisi ijengwe mortuary ili maiti zote zinazotokana na mauaji ya polisi zihifadhiwe huko! Hii itapunguza msongamano wa maiti katika mortuary za hospitali na pia kupunguza adha inayowapata watunza mortuary za hospitali hizi za umma!
Tafadhali tujadili kwa hoja!