SafiUsiache wazo lipite bila kulifanyia kazi.
Kama unaamini kile unacho kiwaza ndio kitakusaidia, basi hauna haja ya kuja kuomba ushauri.
Fuata wazo lako kwanza, kisha utaomba ushauri baada ya kupata matokeo ya wazo lako.
Najaribu kukufata pm umefunga mkuuHujaamua tu ,watu wanajitolea na 28 wanapata kaz na 32 ,sembuse 25
Sijafunga pmNajaribu kukufata pm umefunga mkuu
Mm nikupe wazo kawaambie waajiri kuanzia waliomaliza chuo zamani kuja wa Sasa.Kutokana na changamoto ya ajira serikalini na private sector nimepata wazo la kwenda Kwa mkuu wa wilaya nikajieleze kule akishindwa nitaenda Kwa mkuu wa mkoa huko ikiwa shida nawaza niende utumishi na vyeti vyangu nikalie huko kwa watanzania wenzangu huenda wakanisaidia na Mimi nikaingia kwenye system.
Ikishindikana naenda Kwa Paul Makonda Ndo hayo tuu wakuu je, inawezeka wakanisikiliza maana ndo wazo langu Hilo limenijia wakati nipo kwenye meditation/tafakuri.
Natanguliza shukrani
Mimi mwenye sina ajira kuliko nitafute misugar mummy Bora tutafute kazi karibu nipo mbezi africanaKuna watu wataniponda ila najua Kuna ushauri mzuri wadau wengine wametoa huko juu najua wenye uhitaji pia watautumia na watatoboa tuu
Umemaliza chuo mwaka ganiMimi mwenye sina ajira kuliko nitafute misugar mummy Bora tutafute kazi karibu nipo mbezi africana
Sijakuelewa mkuu
[/QUOTE
Hujaelewa nini hapo
2022Umemaliza chuo mwaka gani
Hahaha na kama haipo??wewe nenda mpaka kwa mungu,.....kama ipo ipo tu
Physics, chemistry na mathMkuu samahn hua siingii sana jf wiki hii, alihitajika mwal wa physics shule moja, nitaulza kma had jana walikua wamepata,ww unafundsha masom gn