Usiache wazo lipite bila kulifanyia kazi.Kutokana na changamoto ya ajira serikalini na private sector nimepata wazo la kwenda Kwa mkuu wa wilaya nikajieleze kule akishindwa nitaenda Kwa mkuu wa mkoa huko ikiwa shida nawaza niende utumishi na vyeti vyangu nikalie huko Kwa atanzania wenzangu huenda wakanisaida na Mimi nikaingia kwenye system
Ikishindikana naenda Kwa Paul Makonda Ndo hayo tuu wakuu je inawezeka wakanisikiliza maana ndo wazo langu Hilo limenijia wakati nipo kwenye meditation/tafakuri
Natanguliza shukrani
Nimeuliza tuu nijue je, inawezekana kuonana na watu hao bila kikwazo maana nitafika mpaka Kwa mama SamiaUsiache wazo lipite bila kukifanyia kazi.
Kama unaamini kile unacho kiwaza ndio kitakusaidia, basi hauna haja ya kuja kuomba ushauri.
Fuata wazo lako kwanza, kisha utaomba ushauri baada ya kupata matokeo ya wazo lako.
Tafuta Redio yoyote yenye wasikilizaji wengi ukaombe ufanyiwe kipindi ukimaliza acha namba za simu utatafutwa hata na usiwatarajia na kazi utapata utakayolipwa vizuri, nimekupa muongozoNimeuliza tuu nijue je, inawezekana kuonana na watu hao bila kikwazo maana nitafika mpaka Kwa mama Samia
Sijakuelewa mkuuTafuta Redio yoyote yenye wasikilizaji wengi ukaombe ufanyiwe kipindi ukimaliza acha namba za simu utatafutwa hata na usiwatarajia na kazi utapata utakayolipwa vizuri, nimekupa muongozo
😂😂😂😂Jiandae kulazwa kwenye ubaridi hao sio watu wema kama unavyowaona maigizo yao kwenye TV.Wanaongozwa na falsafa ya FISi .Kuwa makini sana.
Nenda kwenye Redio yenye wasikilizaji wengi mfano Clouds FM, Wasafi FM, EFM, etc omba wakufanyie kipindi jieleze km ulivyojieleza kwenye mada yako hii omba watu wakupe kazi au ajira, watu wengi wanahitaji watu wakuwafanyia kazi Ila kuwafikia ndio mtihani ukiacha namba mchezo umeisha, hapo bado hujaelewa?Sijakuelewa mkuu
Ubaridi ganiJiandae kulazwa kwenye ubaridi hao sio watu wema kama unavyowaona maigizo yao kwenye TV.Wanaongozwa na falsafa ya FISi .Kuwa makini sana.
Sawa sawa mkuu shukraniNenda kwenye Redio yenye wasikilizaji wengi mfano Clouds FM, Wasafi FM, EFM, etc omba wakufanyie kipindi jieleze km ulivyojieleza kwenye mada yako hii omba watu wakupe kazi au ajira, watu wengi wanahitaji watu wakuwafanyia kazi Ila kuwafikia ndio mtihani ukiacha namba mchezo umeisha, hapo bado hujaelewa?
SeloUbaridi gani
Umesomea nn?Sawa sawa mkuu shukrani
Social protection ifm pale tangu 2015 nipo kitaa hali ni mbaya sina connection yoyote dahUmesomea nn?
Pole sana mzeeSocial protection ifm pale tangu 2015 nipo kitaa hali ni mbaya sina connection yoyote dah
Mtafute mwanafa atakukonektiSocial protection ifm pale tangu 2015 nipo kitaa hali ni mbaya sina connection yoyote dah
Kweli madam AsanteMtafute mwanafa atakukonekti
Mfate dm kwenye page zake za social media zote,atakujibu
Ubaoni kwenye sakafu au kwa kifupi Selo.Ubaridi gani