gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,943
- 6,143
Limejibiwa kisiasa tayari mkuu.
Ukweli ndio huoNakazia.
Vijiini kuna mambo ya ajabu ajabu yanayorudisha nyuma maendeleo. Hawa ndugu zetu wajielekeze huko pia.
Kuna maeneo hata kujenga nyumba nzuri wanaogopa kurogwa
Kwani mjini wanaforce? Utayari unakuja baada ya kuisikia injili and it's a process huwezi ukaenda kuhubiri leo halafu utegemee kanisa lijae, anaweza kuokoka mmoja, wawili unaendelea kupiga injili hata wakiamini kumi katika kijiji hao ndio injili imewafaaYes,ni kwa ajili yao lkn lazima wawe na utayari. Huwezi mforce mtu ndio maana hata Yesu hakuokoa wote bali waliokuwa tayari kubadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa Khantwe,hata hao wamissionary walianzia mijini then wakaenda remote pamoja na niliyoyaeleza hapo juu yaliopo nyuma ya umissionary. Hata nchi ikitaka kutekwa itatekwa Dar sio Chato,kuna maana kubwa sn in the spirit unapocapitalize kwenye miji/majiji ambayo ni influencial because everything stars there.Kwani mjini wanaforce? Utayari unakuja baada ya kuisikia injili and it's a process huwezi ukaenda kuhubiri leo halafu utegemee kanisa lijae, anaweza kuokoka mmoja, wawili unaendelea kupiga injili hata wakiamini kumi katika kijiji hao ndio injili imewafaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hatima ya mitume 12 wa yesu na yesu mwenyewe?Mkuu,nimesisitiza kufanya hayo kwa hekima. Yaani ukute kiongozi kapata uongozi kupitia kwa sangoma afu ww umkemee hadharani eti kufanya jambo hili ni chukizo kwa Mungu na akuache salama,utatiwa msukosuko ikibidi utachinjwa mchana kweupe km Petro alivyochinjwa. Sikatai watoe maonyo kwa maovu ya watawala lkn kwa hekima sn ikiwemo kuwaeleza face to face wanapopata wasaa kukutana nao sio kuita press.
Kumbuka lililo sahihi kwako sabab unamwabudu Mungu ni kosa/kinyume kwa asiyemwabudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama wataihubiri injili ya kweli watakufa kwa haki lakin kinyume chake moto unawasubiri, samahani kama na wewe ni mmoja wapo wa hao manabii.
Askari anaogopa kufa vitani?? Hebu litafakari hiliMkuu,nimesisitiza kufanya hayo kwa hekima. Yaani ukute kiongozi kapata uongozi kupitia kwa sangoma afu ww umkemee hadharani eti kufanya jambo hili ni chukizo kwa Mungu na akuache salama,utatiwa msukosuko ikibidi utachinjwa mchana kweupe km Petro alivyochinjwa. Sikatai watoe maonyo kwa maovu ya watawala lkn kwa hekima sn ikiwemo kuwaeleza face to face wanapopata wasaa kukutana nao sio kuita press.
Kumbuka lililo sahihi kwako sabab unamwabudu Mungu ni kosa/kinyume kwa asiyemwabudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vijiji mmeenda mmekuta utayari haupo ?Mkuu sizungumzii mapokezi physical,hapa namaanisha utayari wa kiroho. Hadi huduma ya kiroho ipelekwe mahali lazima kuwe na uhitaji unaooneshwa na wahusika. Mfano ni watu wangapi wanaweza kufunga safari toka kijijini kwenda huko mijini kufuata huduma kama sehemu ya kudhihirisha wana uhitaji wa huduma husika?
Sent using Jamii Forums mobile app