ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
- Thread starter
- #21
Duh..!Kuna pastor mmoja wa wapo radio nilikuwa namwamini sana nilipogundua ana ukwasi was kutisha nimepunguza imani kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..!Kuna pastor mmoja wa wapo radio nilikuwa namwamini sana nilipogundua ana ukwasi was kutisha nimepunguza imani kwake
Duh!!!!!!!Kijijini hakuna dhambi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pastor mmoja wa wapo radio nilikuwa namwamini sana nilipogundua ana ukwasi was kutisha nimepunguza imani kwake
Hii ni changamoto kwetu wa Tz wengi wetu huwa tunakwepa ukweli
Sawa miundombinu maana kuna yule wa mwenge ana mpaka benki
Mwingine helikopta
Yule was arusha nae anaishi kama raisYule mama was Mikocheni,Mzee wa riverside nk hakika wangeishi vijijini hawa wangeokoa wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote uliowataja hamna nabii waka mtumishi wa Mungu hata mmoja.Hii ni changamoto kwetu wa Tz wengi wetu huwa tunakwepa ukweli
Sawa miundombinu maana kuna yule wa mwenge ana mpaka benki
Mwingine helikopta
Yule was arusha nae anaishi kama raisYule mama was Mikocheni,Mzee wa riverside nk hakika wangeishi vijijini hawa wangeokoa wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakafe njaa huko wakati fursa zipo mjiniNimefikiria jinsi wananchi wanaoishi vijijini wanavyoishi katika style ambayo bado maeneo Mengi kuna uamini mkubwa Wa Nguvu za giza na baadhi kuabudu mizimu
Je si ni wakati muafaka sasa mitume na manabii waliojazana mijini kuweka kusudio LA kuhama kabisa mijini mikoa yote na kwenda kuweka makazi ya kudumu huko kuokoa roho za wanavijiji wengi wanaosumbuliwa na mapepo,imani za kishirikina,mauaji ya albino,ulozi wa mashamba na mazao
Kwa maana mijini tumeshashika neno na tumewaelewa tatizo wenzetu wa vijijini kwa kweli wanakosa kabisa huduma ya kiroho
Sie wa mijini haina shida tutaendelea tu kuwa follow katika insta na tweeter pia YouTube
Hili ni wazo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sababu mkuu haina mashiko kabisaInjili huwa inapelekwa pale kwenye watu wenye utayari wa kuipokea,huwezi kwenda tu kisa watu wana changamoto nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sababu mkuu haina mashiko kabisa
Dunia imebadilika miaka ya Yesu huwezi fananisha na kina Mzee wa upako,na Manabii wengine wajanja wajanja wa mjini hapa,dakika moja anahubiri,dakika tano anataja namba za kutuma PesaUnasoma biblia? Unafahamu kwa nini Yesu alihama kutoka Nazareti na kwenda Kapernaum?
Sent using Jamii Forums mobile app
Injili huwa inapelekwa pale kwenye watu wenye utayari wa kuipokea,huwezi kwenda tu kisa watu wana changamoto nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu,kwa hiyo mtumishi wa Mungu yafaa awe masikini kwa mtazamo wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wkt wamisionary wanaleta injili kwetu,waafrika tulikua tayari kuipokea?Injili huwa inapelekwa pale kwenye watu wenye utayari wa kuipokea,huwezi kwenda tu kisa watu wana changamoto nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nayo ni factor muhimu,kama watu wenyewe hawawezi hata kutoa sadaka unawahangikia wa nini? Injili hutolewa bure ila kuipokea ni gharama. Mwisho wa yote Mtumishi atahitaji kula,kunywa,kuvaa nk na ana familia pia inamtegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, namna alivyo upata na namna anavyoulinda usimponyoke inatia shakaDah mkuu,kwa hiyo mtumishi wa Mungu yafaa awe masikini kwa mtazamo wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni pumba kabisaInjili huwa inapelekwa pale kwenye watu wenye utayari wa kuipokea,huwezi kwenda tu kisa watu wana changamoto nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app