Wazo Mitume Na Manabii Hamieni Vijijini Sasa

Wazo Mitume Na Manabii Hamieni Vijijini Sasa

Kwa hilo siwezi kukupinga kama unakiri namna alivyoupata inakupa mashaka ingawa hujaweka wazi ni mashaka yapi,anyway kwa ujumla kuwa na utajiri ni jambo jema km tu umepatikana ktk utakatifu na unatumika kwa ajili ya kumtukuza Mungu pia.
Hapana, namna alivyo upata na namna anavyoulinda usimponyoke inatia shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Injili hii ya wamissionary km umesoma vizuri historia yake utaona kuwa hawa watu walikuwa na malengo yao tofauti ila walitumia mgongo wa injili kupata kibali cha kupenya. Hawa hawa wamissionary baadae ndio waligeuka mawakala wa biashara za utumwa na ukoloni na uwizi wa rasilimali zetu.
Wkt wamisionary wanaleta injili kwetu,waafrika tulikua tayari kuipokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hilo siwezi kukupinga kama unakiri namna alivyoupata inakupa mashaka ingawa hujaweka wazi ni mashaka yapi,anyway kwa ujumla kuwa na utajiri ni jambo jema km tu umepatikana ktk utakatifu na unatumika kwa ajili ya kumtukuza Mungu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni pale anapokwepa wajibu wa kukemea maovu ili asiwaudhi wenye mamlaka akaupoteza utajiri.

yeye kila Siku anajidai anahubiri kushusha roho mtakatifu, sasa roho mtakatifu anashukaje kwenye nchi yenye dhulma na isiyo tenda haki
 
Kama umesoma vizuri biblia utagundua Yesu alikuwa very specific na maneno hayo aliwaambia wale wenye utajiri uliopatikana nje ya utukufu wa Mungu lkn pia hata utajiri huo ulivyotumika haikuwa ikimtukuza Mungu pia.
Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa mbingu.....
Mwisho wa kunukuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya kitumishi ni ya kiroho zaidi,kwa kawaida tu huwezi ishambulia serikali ukabaki salama hata km ni mtumishi nadhani waliofanya hivo umeona yanayowapata. Hata Yesu walimtega sn apate kuikosoa serikali ya Augusto Kaizari lkn alikwepa,walimhoji km ni halali watu kulipa ushuru(kodi),walimhoji km anaona ni sahihi kwa mwanamke kupigwa mawe baada ya kukamatwa kwny uasherati ili tu wapate kumtia hatiani lkn aliwakataa kwa hekima sn.
Wao kazi yao ni kupambana rohoni kumsihi Mungu aingilie kati hiyo ndiyo sehemu yao ila si kusemea majukwaani au kwny press unless Mungu amemruhusu kufanya hivo.
Tatizo ni pale anapokwepa wajibu wa kukemea maovu ili asiwaudhi wenye mamlaka akaupoteza utajiri.

yeye kila Siku anajidai anahubiri kushusha roho mtakatifu, sasa roho mtakatifu anashukaje kwenye nchi yenye dhulma na isiyo tenda haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya kitumishi ni ya kiroho zaidi,kwa kawaida tu huwezi ishambulia serikali ukabaki salama hata km ni mtumishi nadhani waliofanya hivo umeona yanayowapata. Hata Yesu walimtega sn apate kuikosoa serikali ya Augusto Kaizari lkn alikwepa,walimhoji km ni halali watu kulipa ushuru(kodi),walimhoji km anaona ni sahihi kwa mwanamke kupigwa mawe baada ya kukamatwa kwny uasherati ili tu wapate kumtia hatiani lkn aliwakataa kwa hekima sn.
Wao kazi yao ni kupambana rohoni kumsihi Mungu aingilie kati hiyo ndiyo sehemu yao ila si kusemea majukwaani au kwny press unless Mungu amemruhusu kufanya hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukemea maovu siyo kuichokoza serikali ni kuieleza serikali, kama serikali imejifungamani na uovu hiyo haimtoi nabii/mchungaji kwenye msitari
 
Mbona Yesu alihubiri sehemu ambayo hawakumkubali na hawakuwa na utayari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeeleza tayari kuwa hata Yesu alihama kutoka Nazareti alipokulia na kwenda Kapernaum mji wa kibiashara ulio ufukweni ambapo ndipo huduma yake ilishamiri huko. Unapelekaje injili kwa mtu ambaye moyo wake upo kwa mganga wa kienyeji mkuu? Akienda kwa mganga anapeleka ng'ombe akija kanisani (ambapo Mungu anajidhihirisha kwa matendo km uponyaji nk) analeta sadaka jero. Mtumishi wa watu hadi kiatu kinaenda upande kwa kuchakaa,kisha afunge na kuwaombea watu hao hao wasiomtolea Mungu wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukemea maovu siyo kuichokoza serikali ni kuieleza serikali, kama serikali imejifungamani na uovu hiyo haimtoi nabii/mchungaji kwenye msitari
Mkuu,nimesisitiza kufanya hayo kwa hekima. Yaani ukute kiongozi kapata uongozi kupitia kwa sangoma afu ww umkemee hadharani eti kufanya jambo hili ni chukizo kwa Mungu na akuache salama,utatiwa msukosuko ikibidi utachinjwa mchana kweupe km Petro alivyochinjwa. Sikatai watoe maonyo kwa maovu ya watawala lkn kwa hekima sn ikiwemo kuwaeleza face to face wanapopata wasaa kukutana nao sio kuita press.
Kumbuka lililo sahihi kwako sabab unamwabudu Mungu ni kosa/kinyume kwa asiyemwabudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sizungumzii mapokezi physical,hapa namaanisha utayari wa kiroho. Hadi huduma ya kiroho ipelekwe mahali lazima kuwe na uhitaji unaooneshwa na wahusika. Mfano ni watu wangapi wanaweza kufunga safari toka kijijini kwenda huko mijini kufuata huduma kama sehemu ya kudhihirisha wana uhitaji wa huduma husika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakawafanye wawe na utayari sasa utayari utatoka wapi kama manabii hawaendi, kwani wakati wamissionary wanalera ukristo sisi tuliwaambia tupo tayari.
 
Tatizo watumishi wa sasa kama huyu gspain wameshafanya injili ni kazi rasmi ya kujiingizia kipato. Kama sikosei Yesu alikuwa seremala na wengi wa wanafunzi wake walikuwa wavuvi.
 
Tatizo watumishi wa sasa kama huyu gspain wameshafanya injili ni kazi rasmi ya kujiingizia kipato. Kama sikosei Yesu alikuwa seremala na wengi wa wanafunzi wake walikuwa wavuvi.
 
Back
Top Bottom