Wazo mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazo mbadala

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mchemsho, Jul 19, 2012.

 1. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ili kupunguza idadi ya wanaJF kupigwa pini /ban mara kwa mara, nashauri lianzishwe jukwaa la kuyaporomosha yote ya moyoni dhidi ya yeyote yule awe kiongozi, msanii,..etc coz kuna watu wanakera na kuwasababishia ban wenzao
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ombi kama hili lako lilishaongelewa kule kwenye Cmpns,Cngrts & Advce ila ma-Mod wakali-close.
  Ila cjui labda wanaweza pitisha tena kutegemea na uhtaj wa wana JF.
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nadhan ni wakati muafaka sasa
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nasupport! Kwa kweli kuna mtu unatamani umpe za uso unashindwa! Kama limewezekana la kikubwa, kwanini hilo lishindikane???
   
Loading...