Wazo la Steps nalinunua

Wazo la Steps nalinunua

Mkuu,penda vya nyumbani....huwezi kuniaminisha kuwa toka Bongo movies ianze hawajawahi kutoa Movie nzuri....Binafsi,Filamu ya Kigodoro,Mrembo kikojozi,Scandal ya Dokii,ni kati ya filam nilizowah kuzipenda

RIP Kanumba....!Devil Kingdom,Uncle JJ,This is it,Deception,Oprah,Offside

Wameshindwa kuniteka Wanigeria sembuse Bongo movie?

Wav makini tupo Korea na Hollywood.
 
1000???
Kwa kipi hasa?
Bongo movie thamani ya kazi zao ni 300-500 Tshs
1,000/= wanatuibia sana
 
Wameshindwa kuniteka Wanigeria sembuse Bongo movie?

Wav makini tupo Korea na Hollywood.

Matola utani-support mimi bana. Nataka nifanye mapinduzi kama ya Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Ni strategy ya kuwaondoa ma pirates au nini? sababu sio baadae waje kusema kwanza hatutengenezi faida bei imeshuka sana sokoni.

Watamaintain.....kama walikuwa wananunua watu 20 kwa bei ya 2500 kwa part,wakiuza elfu 1,wateja wataongezeka Times 10 coz bei ni affordable....
 
nop,namaanisha hawana pesa ya kutisha kufanya big investment kwenye tasnia,wengi budget zao ni mil 2 mpk 5

Nadhani soko la filamu ni kubwa tofauti na tunavyofikiria kwa sababu kwa vyovyote vile steps wanauhakika kwamba watauza as many copies as before, au hata zaidi.

hili punguzo la bei ni kubwa sana.
 
Bora nikae niangalie kirikou lakini sio bongo muvi
 
Back
Top Bottom