DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,328
Mie naishi USA. Wala 250k sio hela nyingi. Kwa kazi yangu, natengeneza 100k per year kirahisi sana. Nikifanya kazi full time. Na wala kazi yangu ni mambo ya nursing tu huku ughaibuni. Wala sio kazi mashuhuri sana.Finally umekubali kwamba ulikuwa brainwashed na theory.
Mosi, Dollars 250K ni sawa na around Million 500 in Tzs ni pesa nyingi kokote pale hapa Duniani...Money Value hiyo pesa kwakipindi hiko nisawa na Billions+ kama hutakuwa timamu kichwani.
Pili, Mzazi gani wakawaida anaweza ku-invest kwa mtoto wake Billion+ ni wangapi, huko mbali 100K hakupi, mtoa mada ana mzazi huyo kama wa Bezos.
Munapotoa mifano sio munaandika andika tu nyuma ya Keyboard ooh “mfano nani small” WTF small mtu kawekewa Billions kwenye account na babayake ujinga, ooh Kwenye garage babayako anayo hata hiyo garage kwenu.