Wazo la leo

siyo kila mbuzi wa maskini hazai, wengine huzaa na kufa.
 
sio kila anayejikuna ana upele....
 
siyo kila kifupisho cha JK kirefu chake ni Julius Kambarage
vingine kirefu chake ni Jambazi la Kikwere, au Jinga la Kichwani.
 
...ukifanya biashara ya utumbo, usiogope nzi...!
 
...hakuna mkate mgumu mbele ya supu...
 
Kama bahari yote ingekuwa supu, chapati ngapi zingetosha kwa kitafunwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…