Wazo la leo

Wazo la leo

chezea mshahara usichezee kazi
mzazi hakanyiki
mpira sio mat*ko kusema lazima kila mtu awe nayo
 
Ukiambiwa Baba naniii ! Debe la unga linaisha leo, na Mchele tulimalizia jana! Usiulize gunia la Mkaa ! (automatic umeisha, kama upo basi upo I.C.U)
 
..ukisikia "mmghh.. mmghh..". Jua mtu anapiga "Tigo"
 
Back
Top Bottom