Messagia perfecto!
Ebana hiyo avata yako hicho ninachokiona mbele kwa huyo mdada ndo hicho ninachodhania nimekiona?
niko via mobile tangu jan 29 ya mwaka huu. hebu nikumbushe avatar yangu ikoje tena?
Mdada kabeba kitu kichwani kinachoonekana kama kibuyu halafu nyonyo zake ziko wazi.
sante mkuu..
napenda ku m impress baba watoto mtarajiwa..
lol..kwa sasa unamimpress...lakini ukishaingia ndani unamuonyesha ur true colourssante mkuu..
napenda ku m impress baba watoto mtarajiwa..
mmhhh
kinini tena hicho kimekatikia dear??
lol..kwa sasa unamimpress...lakini ukishaingia ndani unamuonyesha ur true colours
nimesikia neno watoto, halafu kabla nikae vizuri nikasikia kutarajia...
kumbe u ar in? nilivyoona baba watoto mtarajiwa nikaona mambo baaado kabisa!dahhh
ndani niingie mara ngapi Rejao...
kumbe u ar in? nilivyoona baba watoto mtarajiwa nikaona mambo baaado kabisa!
hahahahaha
unasoma sana katikati ya mistari..
Natumia cmu cjaweza kusoma fresh mnaotumia PC tujuzeni kilichoandikwa hapo