Wazo la leo

Wazo la leo

Nakumbuka nilishawahi kutuma bahati mbaya wazo la leo tena la kijinga kwa baba badala ya baby
 
Siku ukitaka kufa fikiria hivi, hivi nakufa kisha ubongo wako utakwambia hapana bado, ukiona ubongo wako unakwambia hivyo jua unakufa kweli ila ubongo ukikushawishi umekufa jua hujafa, jambo ambalo nakueleza kibaya zaidi hutarudi kuniambia ni kweli ulichosema utakuwa umesahau..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mambo hayaendi,basi chukua bodaboda nenda mwenyewe.
 
Back
Top Bottom