Una bahati hawakatizi sana huku!
Mama yangu, mke wangu na ndugu zangu wengine wa kike ni binadamu labda wa kwenu ndo sio binadamu.Na unafahamu kwamba wanawake sio binadamu ila wamebarikiwa kuwa watu?
Na unafahamu kwamba wanawake sio binadamu ila wamebarikiwa kuwa watu?
(i)UKINIPIGA unanionea,UKINIACHA unaniogopa,UKINISAIDIA unajipendekeza. (ii)Kama kuna foleni mbili zinaelekea sehemu moja na ukaona mstari uliopo wewe hauendi haraka,ukihamia mstari mwingine,ule mstari ulioukimbia huanza kwenda haraka kuliko ule uliohamia. (iii)Je wajua kwamba binadamu anaweza kufa haraka kwa kukosa usingizi kuliko kwa kukosa chakula? (iv)Na kwa taarifa yako,ndizi sio tunda bali ni natural herb katika mwili.
'Faru dume hatishwi na kelele za chui' na pia,'chezea mshahara sio kazi'.