Wazo la leo wakuu!!!

kama shetani akizeeka anakuwa malaika basi kahaba akizeeka anakuwa sister na jambazi akizeeka anakuwa polisi pia JK akizeeka anakuwa Nyerere
 
Hata uwe busy vp huwezi kumuomba mtu aku......... Mkeo.

Hata uwe na mapozi vp huwezi kuweka 4 ukiwa umwkalia mkeka.
 
Back
Top Bottom