hao ni ndugu wa maji( siyo wa damu).,,dada yao ni jion njema.Et said mwema na ucku mwema ni ndugu
KweliKyela ni joto hatari labda tukuyu rungwe!
!
Kyela?? au Tukuyu?! kama ni Kyela nina mashaka na uzoefu wako
Kwene biashara, kamwe huwezi kurudisha noti ya 10,000/= kama chenji.