Wazo la kuwa na Tanzania Professional Database (TPD)

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Hili wazo kwa mara ya kwanza lilitolewa na Mbunge mmoja katika bunge lililopita
Kwamba ukienda katika baadhi nchi zilizoendelea utakumbana na hii kitu ambapo wajuzi wote wanajiorodhesha kadri walivyosoma,contact zao ,walio na ajira na wasio na ajira.

Hivyo wawekezaji wakifika nchini humo ni just kuingia katika database hiyo na kuchukua mtsalam wa jambo Fulani.
Nina wazo kuwa sisi humu JF tunaweza kuitengeneza

Mfano ,Huu ni mfano tu

No
Jina kamili
Ujuzi katika
Ngazi
Chuo gani
Uzoefu
Mkoa ulipo
Mawasiliano
1
Rutunga M
Mass Com
Degree
IJMC
5years
Lindi
075555
2
Magamba Leo
ICT
Diploma
UDOM
Non
DSM
022 3333
Nawasilisha kwa maoni mapendekezo
Rutunga M
© October, 2011
 
Ni wazo zuri lakini halitofanikiwa sana bongo kutokana na undugunization na forgery in credentials
 
Nafikiri wenye vyuo wangeanzisha database kwa wote ambao wamegraduate wanafanya kazi wapi.Kungekuwa na taratibu kuwa lazima refarii wako kwenye CV atoke chuoni kwako na waajiri kabla ya kukuajiri lazima wawasilaine na refarii kutoka chuoni kwako
 
ni wazo zuri sana na la kuungwa mkono ishu ina kuja je halitakuwa kama la tcu na heslb au daftari la wapiga kura?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom