Wazo zuri sana ... Kama jinsi ndege kubwa za abiria zina mfumo wa computer unaoitwa TCAS(traffic collision avoidance system) ambao unawasaidia marubani wasigongane na ndege wakiwa anganiNinashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.
Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano ndani ya mita 200, na kutoa kengele: “HATARI! GARI LINAKUJA, USIOVERTAKE!”
Lengo ni kusaidia kuzuia ajali za kugongana uso kwa uso kabla hazijatokea.
Nimetoa wazo kutokana na miundo mbinu yetu ya barabara kusema kuboresha inaweza kuwa gharama sana nchi zima ila kama vifaa hivi vipo basi jambo jema vikafungwa kwenye magari yote kama havipo aliye na uwezo au mamlaka zinazohusika zipokee ushauri huu na kuboresha kwa ajili ya usalama wetu
Asante sana kama wanaweza kuibadilisha ikafaa kwenye magari itapendeza technologia zitusaidie maana basi zima linapopata changamoto kwanza kama nchi manpower inapotea kwasababu labda mtu mmoja hakuchukua tahadhari au alichohisi kwa makadirio ya macho sio sawa kutokana speed ya gari unakuta ishamfikiaWazo zuri sana ... Kama jinsi ndege kubwa za abiria zina mfumo wa computer unaoitwa TCAS(traffic collision avoidance system) ambao unawasaidia marubani wasigongane na ndege wakiwa anganiView attachment 3688584
Wazo zuriNinashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.
Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano ndani ya mita 200, na kutoa kengele: “HATARI! GARI LINAKUJA, USIOVERTAKE!”
Lengo ni kusaidia kuzuia ajali za kugongana uso kwa uso kabla hazijatokea.
Nimetoa wazo kutokana na miundo mbinu yetu ya barabara kusema kuboresha inaweza kuwa gharama sana nchi zima ila kama vifaa hivi vipo basi jambo jema vikafungwa kwenye magari yote kama havipo aliye na uwezo au mamlaka zinazohusika zipokee ushauri huu na kuboresha kwa ajili ya usalama wetu
Kwa uchumi wetu naona ngumu ila sehemu za mijini ambayo wingi wa watu naona tunajikongoja ila njia za mikoani sioni siku za karibuni kufikia katika wazo lako zuri , na ajali zinaendelea bora technolojia kama itaweza kutusaidia tahadhari unaondoka nyumbani unsafiri mzima hujui unapokwenda itakuwaje kutokana na njia zilivyoKwa magar haitowezekana na utatuzi upo nao ni kupanua barabarb yaani kuongeza njia zenye uwelekeo mmoja mf njia ziwe mbili au tatu na kutenganisha na barabara nyingine yenye uwelekeo tofati ( BARABARA PANA NJIA MBILI AU TATU UWELEKEO MMOJA )
Miundombinu rafiki, aina ya magari pamoja na strict rules zinazingatiwa sana yaani.Itakuwa wenzetu miundo mbinu ya barabara ipo vizuri au usafiri wao mkuu ni treni.
Atakapo washa indicator ya kulia kuwa ana overtake ila wataalamu wanaweza kufanya maboresho zaidi tukisema tusubiri ujenzi wa barabara za kutenganishwa safari ni ndefu badoHio system ya ndege kwenye gari sidhani kama itafaaa, kwenye ndege inawahi kujulikana 7bu ndege ina njia moja tu na haipishani, barabara zetu hizi njia moja moja alarm itakuwa inalia kila unapopishana na gari inayorudi unakotoka
Safari ni ndefu sijui tutafika lini , mwakani ujenzi wa sekondari nazo zinatakiwa ziongezeke madarasa kutokana na mitaala kubadilika, ngoja tuone vipaumbele vitakapo tufikishaUchumi wakupanua barabara upo sema nivile viongoz hawatak mf ukichunguza bajiti ya ukarabati wa barabara ya kilomita maybe 100 unakuta imepishana kwa 10% ya ujenzi mpya je inashindikanaje kutanua barabara hiyo
Yes inawezekana na Germany wana huo mfumo ; pamoja na wazo lako zuri ; Nashauri kwa sasa FOCUS iwe ni Katiba mpya. Toa mawazo mapya namna ambayo Taifa lita pata katiba mpya na tuwe na Bunge na mahakama huruNinashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.
Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano ndani ya mita 200, na kutoa kengele: “HATARI! GARI LINAKUJA, USIOVERTAKE!”
Lengo ni kusaidia kuzuia ajali za kugongana uso kwa uso kabla hazijatokea.
Nimetoa wazo kutokana na miundo mbinu yetu ya barabara kusema kuboresha inaweza kuwa gharama sana nchi zima ila kama vifaa hivi vipo basi jambo jema vikafungwa kwenye magari yote kama havipo aliye na uwezo au mamlaka zinazohusika zipokee ushauri huu na kuboresha kwa ajili ya usalama wetu
Idea nzuri ila kwa hali barabara ya Morogoro ilivyo sasa inahitaji upanuzi angalau iwe njia tatu kwenda upande mmoja .Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.