Weka akiba kila mwezi ya kiasi cha tsh 300,000 hadi 400,000
Ukiweka akiba ya 300,000 toka ktk mshahara wako kwa miezi 12 utakuwa na kiasi cha tsh. 3,600,000.
Kwa miaka 9 hadi 10 ya mkopo utakuwa na akiba ya 32,4000,000. Kwa miaka 9 na kwa miaka 10 utakuwa na akiba ya 36,000,000
Hapa unakuwa umebakisha miaka 5 uachane na ajira. Una nunua gari kali
Ikiwa utawekeza akiba ya 400,000 kila mwezi.
Kwa miezi 12 ni 4,800,000.
Kwa miaka 9 ni 43,200,000
Kwa miaka 10 ni 48,000,000
Hapa unakuwa umebakisha miaka michache ya kuachana na ajira, unarudi ktk matumizi ya 600,000 yako au unaweza kuta mshahara umeongezeka mara dufu na vyeo vya kumwaga na maposho bila idadi